Kwenye hizo salamu sijaona sehemu yoyote aliyozungumzia masrahi ya wafanyakazi yaan najaribu kuvuta picha ya mabango ambayo angebebewa Leo daaaah!!!
Alipo anamshukuru saana Mungu maana sijui angesema nini Leo nadhani angepata wakati mgumu kuandaa speech ya Leo maana alikuwa hana akiba ya neno hata moja yooooote alikuwa ameshayatumia/kuyaongea eg: "kabla sijatoka madarakani nitakuwa nimeshaongeza mshahara" alisikika abiria mmoja akisema
#tumechoka kudanganywa
#tunataka haki zetu
*Pamoja na kuwepo Corona lakini tukumbuke maisha yanaendelea