Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

Kidume kwako!
Sijawai ona staa wa muvi anakufa kabla picha halijaisha. Magufuli lilikuwa vampire la nchi, hilo hata wewe unalijua. Sema unajifanya una ngozi ya chuma tu.
 
Unajiita kidume unategemea mtutu wa bunduk ukipingwa , fala
 
Usitokwe povu,Jiwe kishakufa.
Maisha ni lazima yaendelee.

Aliminya haki za wafanyakazi
lakini yuko wapi sasa?

Aliminya upinzani,lakini yuko
wapi sasa?

Aliminya uhuru wa kujieleza
lkn yuko wapi sasa?

Alihubiri chuki,yuko wapi sasa?

Dunia ni mapito,Jiwe kapita.
Nasi tutapita,tupendane!
 
Anagombea 2025, lazima ajitengenezee mazingira
 
Watu wanawaza samia akiongeza mshahara ndo atakuwa mtu mwema zaidi ya jpm?

Hivi nyie akili yenu ipo wapi? Mm wakati nikiwa mtumishi wa serikali nakumbuka nyongeza ilikuwa hela ndogo sana. Na maisha yana baki pale pale.
Hata uongezewe laki 2 kama hufanyi kazi kwa bidii ukawa na uwezo wa kufanya kazi za ziada siku zote mshahara hautoshi.

Sasa hivi mnachekelea kweli kweli, ati mkombozi kaja.maskini watumishi macho yapo kwa samia😂😂😂

So sad utaongezewa hako ka mshahara, ununue li tv lako mwizi apite nalo usiku.

Samia ujambazi umerudi kwa kasi ya juu watu hatuna amani tena. Hiyo hela ya nyongeza ya mishahara iwekwe kuendeleza miradi na ulinzi wa raia mali zao.
 
Mkuu, sio vizuri kumsifia hivo kupitiliza mwanaume mwenzio. Kiukweli sijapenda.
 
Yeye ndiye aliye kuwa mpuuzi kwa kila mwananchi hapa tanazania
 
Hata asipo ongeza mishahara bado samia atabaki kuwa juu na zaid ya magufuli maana mpaka sasa amesha mpita magufuli kwa mambo yote ya kijamii na kisiasa sasa tuna msubiri kwenye uchumi ingawa nako naona magufuli amesha anza kuachwa mbali
 
ili uende vizuri na baadhi watanzania hasa wapiga kelele za mitandaoni unatakiwa kuwa mtu wa kucheka cheka kama JK na kuwapooza pale wakiwa na hasira. Mtanzania yupo radhi akanunue kitu kwa machinga kisa kapewa punguzo la sh 100 kuliko kununua dukani penye bei kamili na kitu orijino. Hapo Samia akiongeza hata sh mia atakua shujaa sana huku wakisahau hakuna mabadiliko ya kupandishwa ngazi wala ajira mpya
 
Mama hajawahi kutuangusha tutegemee mema tuu [emoji1696][emoji1696][emoji1696]
 
Kuna watu ni wabinafsi sana yaani wao tu ndio waongezewe mishahara watu hawafiki hata milioni 3 halafu the rest 50 milion waumie kwa gharama za maisha kupanda.

Mambo ya ajabu sana hayo. Kelele mingi tija hakuna.
 
Na ubabe wote ule, funza wanajitafunia minofu kilaini kabisa .

Mungu wetu ni mkuu sana kutuondolea lile baradhuli...
 
Legasi ya jiwe ni kumwambia mtanzania abaki na mavi yake nyumbani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…