Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

Kwahiyo umeajiriwa ili uongezewe mshahara tu bila tija yeyote??

Mnavyofisadi mashirika yetu namna hii halafu mnataka tuwaongezee mishahara ndio mnazidi kutupa hasira.

Hivi hujui kwamba kila unapoongeza mishahara unasababisha gharama za maisha nazo kupanda??

Kwahiyo kwa ubinafsi wako unaona ni sawa watu wachache kuwaumiza wengi kila mara??

Hilo ongezeko litazidi basi hata laki??

Ila unajua naumivu yake huku mtaani??

Sidhani kama unafikiri sawasawa, maana inavyoonekana umeshakua kilema wa mshahara.
Mafuta ya kula kupanda bei kwa mfano.. Watumishi walikuwa wamepandishiwa mishahara?

Sukari kabla ya magu kuingia bei ilikuwa ngapi na kwa sasa ipo ngapi unataka kusema ni mishahara kupanda?

Unazungumzia gharama zipi za maisha mpendwa?

Gharama za maisha kupanda hutegemea na hitaji la kitu kwa wakati huo na sio wamba hutegemea wewe unakipato gani. Kiwe kidogo kiwe kikubwa gharama za maisha hupanda tu. Watu kuongezeka uzalishaji kupungua n.k

Fikiria mara mbili brother.

Wafute sheria inayomtaka mwajidi kumpandisha mtumishi madaraja ili hao watu unaosema huko uraiani wataumia, wasiumie.
 
Kuna watu ni wabinafsi sana yaani wao tu ndio waongezewe mishahara watu hawafiki hata milioni 3 halafu the rest 50 milion waumie kwa gharama za maisha kupanda.

Mambo ya ajabu sana hayo. Kelele mingi tija hakuna.
Hoja yako ni dhaifu sana, mshahara haujaongezwa kwa miaka sita sasa gharama za maisha hazijapanda? Bei ya sukari kabla ya jpm ilikuwa shngap na sasahv ni shilingngap? Mafuta ya kupikia je? .........

Gharama za maisha zinapanda kila siku na watu wapo katika kipato kilekile kwa muda mrefu
 
Kwahiyo umeajiriwa ili uongezewe mshahara tu bila tija yeyote??

Mnavyofisadi mashirika yetu namna hii halafu mnataka tuwaongezee mishahara ndio mnazidi kutupa hasira.

Hivi hujui kwamba kila unapoongeza mishahara unasababisha gharama za maisha nazo kupanda??

Kwahiyo kwa ubinafsi wako unaona ni sawa watu wachache kuwaumiza wengi kila mara??

Hilo ongezeko litazidi basi hata laki??

Ila unajua naumivu yake huku mtaani??

Sidhani kama unafikiri sawasawa, maana inavyoonekana umeshakua kilema wa mshahara.
Mawazo ya jiwe haya!
 
Mkuu sifanyi kazi serikalini mkuu napiga mbishe zangu tu porini na nikiwa mjini napiga udalali na ujenzi,naongelea in general kwamba kwa miaka 6 wafanyakazi wa serikali hawajapandishwa salary ni muda muhafaka mama ssh akaanza kuwapa tabasamu jipya....Mnaona mama akipandisha salary atavuruga legasi ya jiwe.
Akiongeza mshahara na biashara zitachangamka, mkulima atafurahi,!!
 
Mfanyakazi wa serikali nyongeza ya laki moja kila baada ya miaka mi3 haiwezi badili maisha yako. Pambaneni mjiongeze la sivyo hata Mama mtamuona hafai.
Laki ya uhakika kila mwezi ni kubwa sana kwa aina fulani fulani za jamii. Na inafanya mambo mengi sana. Kwa miaka mitatu ni m3.6.
 
Hata asipo ongeza mishahara bado samia atabaki kuwa juu na zaid ya magufuli maana mpaka sasa amesha mpita magufuli kwa mambo yote ya kijamii na kisiasa sasa tuna msubiri kwenye uchumi ingawa nako naona magufuli amesha anza kuachwa mbali
mwezi mmoja umeshajua uchumi umekua sana tofauti na miaka 5 iliyopita[emoji16][emoji16][emoji16].

mnaongozwa na hisia sio utashì tena.
 
uyu mama siasa za kanda ya ziwa asipokuwa makini nazo, majibu atayapata muda sio mrefu
 
Hata Kama ndo ivyo ,yafanyakazi waachie wenyewe,acha roho mbaya KWA watumishi wakati huduma nyingi za kijamii wazipata pitia kwao,
 
ukiacha matatizo mengine, kikwazo kingine ktk mafanikio ya wafanyakazi ni;

Majungu na Kufitiniana wao kwa wao.
wapo wasio na hatia lkn wanaumizwa kwa fitina na majungu.

Acheni, chuki, fitina na majungu haswa kwa viongozi ktk idara mbali mbali kamwe msiunge mkono fitina na majungu.

mambo hayo yakiachiwa yashamiri ktk sehemu za kazi yatapunguza tija na ufanisi kazini lkn pia tutawapoteza wafanyakazi waadilifu na wenye bidii.
 
Kwahiyo umeajiriwa ili uongezewe mshahara tu bila tija yeyote??

Mnavyofisadi mashirika yetu namna hii halafu mnataka tuwaongezee mishahara ndio mnazidi kutupa hasira....
Awam za mwendazake mliozoea mjaza upepo wakati yeye na nyie wanafiki wachache mkiishi maisha ya pepon mungu ameyakataa, Sasa mnatapatapa
 
Back
Top Bottom