mustapha hashimu
Senior Member
- Jan 25, 2017
- 145
- 30
Anejua channel gan wanaonesha tujuzane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona wamerudisha tbcAnejua channel gan wanaonesha tujuzane
Mafuta ya kula kupanda bei kwa mfano.. Watumishi walikuwa wamepandishiwa mishahara?Kwahiyo umeajiriwa ili uongezewe mshahara tu bila tija yeyote??
Mnavyofisadi mashirika yetu namna hii halafu mnataka tuwaongezee mishahara ndio mnazidi kutupa hasira.
Hivi hujui kwamba kila unapoongeza mishahara unasababisha gharama za maisha nazo kupanda??
Kwahiyo kwa ubinafsi wako unaona ni sawa watu wachache kuwaumiza wengi kila mara??
Hilo ongezeko litazidi basi hata laki??
Ila unajua naumivu yake huku mtaani??
Sidhani kama unafikiri sawasawa, maana inavyoonekana umeshakua kilema wa mshahara.
ila ukweli ndio huo, laki moja kwa miaka 3 inakupeleka wapi, hamtaki kuusiikia ukweliAcha zako ,we mwenyewe hela ya kuhongwa haiwezi kukupeleka popote
Hoja yako ni dhaifu sana, mshahara haujaongezwa kwa miaka sita sasa gharama za maisha hazijapanda? Bei ya sukari kabla ya jpm ilikuwa shngap na sasahv ni shilingngap? Mafuta ya kupikia je? .........Kuna watu ni wabinafsi sana yaani wao tu ndio waongezewe mishahara watu hawafiki hata milioni 3 halafu the rest 50 milion waumie kwa gharama za maisha kupanda.
Mambo ya ajabu sana hayo. Kelele mingi tija hakuna.
Hiyo mimba uliyodungwa chato itakutoa rohoNa ubabe wote ule, funza wanajitafunia minofu kilaini kabisa .
Mungu wetu ni mkuu sana kutuondolea lile baradhuli...
Mawazo ya jiwe haya!Kwahiyo umeajiriwa ili uongezewe mshahara tu bila tija yeyote??
Mnavyofisadi mashirika yetu namna hii halafu mnataka tuwaongezee mishahara ndio mnazidi kutupa hasira.
Hivi hujui kwamba kila unapoongeza mishahara unasababisha gharama za maisha nazo kupanda??
Kwahiyo kwa ubinafsi wako unaona ni sawa watu wachache kuwaumiza wengi kila mara??
Hilo ongezeko litazidi basi hata laki??
Ila unajua naumivu yake huku mtaani??
Sidhani kama unafikiri sawasawa, maana inavyoonekana umeshakua kilema wa mshahara.
😂 😂,nyuso za wafanyakazi zinaonyesha tabasamu lililojaa matumaini tofauti na mei mosi za miaka 5 iliyopita.
Akiongeza mshahara na biashara zitachangamka, mkulima atafurahi,!!Mkuu sifanyi kazi serikalini mkuu napiga mbishe zangu tu porini na nikiwa mjini napiga udalali na ujenzi,naongelea in general kwamba kwa miaka 6 wafanyakazi wa serikali hawajapandishwa salary ni muda muhafaka mama ssh akaanza kuwapa tabasamu jipya....Mnaona mama akipandisha salary atavuruga legasi ya jiwe.
Laki ya uhakika kila mwezi ni kubwa sana kwa aina fulani fulani za jamii. Na inafanya mambo mengi sana. Kwa miaka mitatu ni m3.6.Mfanyakazi wa serikali nyongeza ya laki moja kila baada ya miaka mi3 haiwezi badili maisha yako. Pambaneni mjiongeze la sivyo hata Mama mtamuona hafai.
Laki moja ni kubwa sana. Kwann mnadhani laki ni ndogo? Laki moja ya uhakika kila mwezi ni ndogo? Hiyo ni m3.6 kwa hiyo miaka mitatu. Kuna kampuni kama za ndege hazijatengeneza hiyo faida kwa hiyo miaka.ila ukweli ndio huo, laki moja kwa miaka 3 inakupeleka wapi, hamtaki kuusiikia ukweli
mwezi mmoja umeshajua uchumi umekua sana tofauti na miaka 5 iliyopita[emoji16][emoji16][emoji16].Hata asipo ongeza mishahara bado samia atabaki kuwa juu na zaid ya magufuli maana mpaka sasa amesha mpita magufuli kwa mambo yote ya kijamii na kisiasa sasa tuna msubiri kwenye uchumi ingawa nako naona magufuli amesha anza kuachwa mbali
Awam za mwendazake mliozoea mjaza upepo wakati yeye na nyie wanafiki wachache mkiishi maisha ya pepon mungu ameyakataa, Sasa mnatapatapaKwahiyo umeajiriwa ili uongezewe mshahara tu bila tija yeyote??
Mnavyofisadi mashirika yetu namna hii halafu mnataka tuwaongezee mishahara ndio mnazidi kutupa hasira....
upuuzi.Chuki zenu na jiwe lenu zimeishia wapi?