Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Sahihi bob! Mama kawa mkweli!Pesa nyingi imechezewa na matumizi mabovu ya mwendazake kujumlisha na uchumi wa dunia wa hii corona kaona lolote na liwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi bob! Mama kawa mkweli!Pesa nyingi imechezewa na matumizi mabovu ya mwendazake kujumlisha na uchumi wa dunia wa hii corona kaona lolote na liwe.
Rais hajaongeza mshahara,Duuuh we jamaa ni famba sana yaan ,sijui unakijua unachokiongea au una harisha tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Bavicha watakwambia mama amewakomesha matagaDaraja la Busisi, reli ya Isaka na uwanja wa ndege miradi yoye hii lazima ikamilishwe.
Ongezeko hamna lakini bestyyyy, japo kuna ahadi ya mwakaniKama kawa best...
Kima cha chini sekta binafsi ni kiasi gani ??Mama Samia ; sekta binafsi miaka 8 hawajapandishiwa mshahara, hapa nadhani mama kateleza,sekta binafsi gani hiyo miaka 8 hawajapandishiwa mishahara
Serikali inapaswa kuweka kiwango kimoja cha mishahara kwa nchi nzima na kiwe kwa sekta zote binafsi na umma.Hujamuelewa mh Raisi, hapo amemaanisha serikali haijapandisha kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi toka mwaka 2013. Na kima cha chini ni laki moja kama sikosei.
Sema kupitia vyama vya wafanyakazi na matakwa ya muajiri walikua wanaongeza.
Kwahiyo kiserikali inatambua kima cha chini ni 100,000 kwa sekta binafsi.
Basi mfufue huyo MWANAUME wako aje kuwatesa watu na kuwateka wengine kibao kama alivyowateka Azory, Ben Saa 8, Roma na kujaribu kumuua Tundu Lissu. Acha kunitafutia ban wewe mpuuzi!Jiwe ndio kiboko ya kila mpuuzi nchi hii.
Enzi hizo mwanaume akiongea kauli ni moja tu na mnaufyata.
Sasa hivi mnaleta unafki wa kupiga kelele mngeongea mbele ya kidume tuone kama mnayaweza.
Mafisadi na vibaraka walikimbia nchi.
Wafanyakazi wazembe na wezi waliichukia serikali maana waliishi kwa halali yao ya mshahara na posho wanayostahili.
Kile kidume ni noma ndio maana wabaya wake bado wanateswa na jinamizi lake wakilala jiwe wakiamka jiwe.
Wananchi wa kawaida wanalia sana kupoteza lile dume la mbegu sababu alisimama nao pamoja na unyonge wao. Aliwapa uhuru wa kweli mwenye biashara alifanya na hakusumbuliwa, aliwapelekea umeme, zahanati, maji na barabara nzuri alihakikisha kinachopatikana kinaenda kuwafaidisha watanzania walio wengi haswa maskini pangu pakavu na ndio maana watampenda daima.
Maofisini huko alipanyoosha at least mwananchi mnyonge alisikilizwa na mtumishi wa serikali tena bila connection wala kutoa rushwa tofauti na tawala zingine.
RIP Chuma aka Jiwe.
Hajaamua kufanya siasa. Hakika kwenye hili wale ambao tuna elimu ya uchumi japo kidogo tuliliona.Hali ya uchumi hairuhusu kupandishwa mshahara naona Mama kawaskiliza washauri wake wa masuala ya Kiuchumi kudos to Mama SSH
Kuna mmoja wao alikuwa akipendekeza mradi wa Busisi usitishwe.Bavicha watakwambia mama amewakomesha mataga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mjinga mmoja yule.Kuna mmoja wao alikuwa akipendekeza mradi wa Busisi usitishwe.
Tunasema kila siku humu kwamba mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetuMajobless tumetokamo hii retention fee ilikuwa pigo kwa kweli.
Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetuRais hajaongeza mshahara,
Wataalam wameshauri vyema.
Pia nimpongeze kwa kuondoa 6% retention fee kwa HESLB.
Hongera sana Mh. Rais.
Ndio maana tunasema Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetuMpeni mama muda, ni muda mfupi mno kubalance mambo na kuanza kuongezea watu mishahara...Tayari nchi ilikuwa kwenye direction ya mtu mwingine na mtazamo wake, kwa miezi miwili ni ngumu kuitoa huko na kuiweka kwenye direction na mtazamo mwingine..