Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Toka nmepata kujitambua kila mwaka naona katika siku ya wafanyakazi dunia walumu hua ndo vimbelembele sana kuliko wafanyakazi wa kada nyingine mpaka ikafika wakati najiuliza hivi mei mosi ni siku ya walimu au nikwa wafanyakazi wote.
Ushauri kwa walimu waliopo field na sisi watarajiwa tuache kujipendekeza sana tunajishusha hadhi na thamani kwajamii, tunaonekana kama wanasesele watu walio elimika lakini hawana maoni,malengo wala uwezo wa kujijitea hata kwa mwenyekiti wa kijiji.
Walimu tuache upopoma hii ni taaluma muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu na hata duniani kwa ujumla.