Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
😂😂😅😅😄😄😆😆😁Siku ya watumwa.
Sikukuu ya Mei mosi ni sikukuu ya wafanyakazi. Kimsingi, ilitakiwa iwe ni siku ya wafanyakazi kuwasikiliza viongozi wa vyama vyao vya kazi, kujadali changamoto zao na kuweka malengo. Lakini kwa vile Tanzania ni nchi ya manyumbu, imekuwa ni siku ya kudanganywa na wanasiasa.Sasa kwani wamefanya kibaya gani?
Sasa mkisikilizwa na viongozi wenu tu nani atatatua hzo changamoto mtakazowaambia serikali lazima iwepo mana wao ndio waajiri wafanyakazi sio lazima mei mosi ndio wasikilizwe na viongozi wao wao wanaweza wakawasilisha changamoto zao kabla ya ata hyo ckuSikukuu ya Mei mosi ni sikukuu ya wafanyakazi. Kimsingi, ilitakiwa iwe ni siku ya wafanyakazi kuwasikiliza viongozi wa vyama vyao vya kazi, kujadali changamoto zao na kuweka malengo. Lakini kwa vile Tanzania ni nchi ya manyumbu, imekuwa ni siku ya kudanganywa na wanasiasa.
Wanaowasiliana na viongozi wa serikali ni viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Halafu mamtatizo huwa yanatatuliwa kwa sera na siyo matamko ya majukwaani. Anyways, jambo kama hili ukimweza mtu asiye na exposure ya kujua nchi zilizoendelea wanafanyaje hawezi kuelewa. Kama umezaliwa na kukuta Mei mosi ikifanywa siku ya rais kupandisha mshahara na wafanyakazi kumsifu rais na kusema watamchagua tena huwezi kuelewa.Sasa mkisikilizwa na viongozi wenu tu nani atatatua hzo changamoto mtakazowaambia serikali lazima iwepo mana wao ndio waajiri wafanyakazi sio lazima mei mosi ndio wasikilizwe na viongozi wao wao wanaweza wakawasilisha changamoto zao kabla ya ata hyo cku
hujui kitu ww kaa kmya walimu ni 51% ya watumishi wote serikaliniUnataka kunambia nini? Walimu ni wengi kuliko wanajeshi? Ushawahi kuona wanajeshi huko? [emoji1787]Au jeshini sio utumishi wa serikali?
Na ndio watumishi wanyonge kuliko wote.Haujui walimu wao ndio nusu ya watumish wote Tz... Waache Wana haki ya kusikika na kuonekana...