Mei Mosi ya 2023 imepooza! Shida nini?

Mei Mosi ya 2023 imepooza! Shida nini?

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Habari za Asubuhi wapendwa!

Binafsi nimeshangazwa na sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi) ya mwaka 2023 kupoa, hakuna ata matangazo wala promo lolote! Kama vile hamna kitu kabisa!

Wafanyakazi tatizo nini?
 
Habar za Asubuh wapendwa!
Binafsi nimeshangazwa na sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi) ya mwaka 2023 kupoa, hakuna ata matangazo wala promo lolote! Kama vile hamna kitu kabisa! Wafanyakazi tatizo nini?
Mbona bado mapema sana!
 
Habar za Asubuh wapendwa!
Binafsi nimeshangazwa na sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi) ya mwaka 2023 kupoa, hakuna ata matangazo wala promo lolote! Kama vile hamna kitu kabisa! Wafanyakazi tatizo nini?
Tatizo lile lile la serikali ya Awamu ya Pili wafanyakazi waliombaga kuandika za barua kuacha Kazi.

Mwaka jana alipandisha misharaha kwa 23% , watu kufika kwenye ATM wakakutana na nyongeza ya .Tsh 10,000 kwenye mshahara.

Leo hakuna jipya bali kutumia misafara kwenda morogoro kula kodi za watanzania
 
We hukumbuki ile 23% iliyotolewa mwaka jana? Kimsingi wafanyakazi msijipe matumaini feki
 
Leo mei mosi: Tutarajie Kwa wale Waislamu inatakiwa Muunge Mkono pendekezo la Siku ya Ijumaa kujumuishwa kama public holiday yaani Weekend hakuna kufanya kazi.

Kwa nini Jumapili na Jumamosi ni Weekend na sio Ijumaa?

Hii itakuwa nzuri sana Kwa Wafanyakazi pia.
 
Attachments

  • BEDA842A-723D-470C-B218-1B0B7FD28D8A.jpeg
    BEDA842A-723D-470C-B218-1B0B7FD28D8A.jpeg
    32.3 KB · Views: 4
Leo mei mosi: Tutarajie Kwa wale Waislamu inatakiwa Muunge Mkono pendekezo la Siku ya Ijumaa kujumuishwa kama public holiday yaani Weekend hakuna kufanya kazi.

Kwa nini Jumapili na Jumamosi ni Weekend na sio Ijumaa?

Hii itakuwa nzuri sana Kwa Wafanyakazi pia.
Kwa hio weekend ianzie Ijumaa na weekdays ziwe siku 4 tu?
 
Habari za Asubuhi wapendwa!

Binafsi nimeshangazwa na sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi) ya mwaka 2023 kupoa, hakuna ata matangazo wala promo lolote! Kama vile hamna kitu kabisa!

Wafanyakazi tatizo nini?
Yani ACHA tu mie nimejiandaa kwenda kazini mwanangy amenikumbusha Leo ni siku yangu mpaka nikaona aibu nikaishia kumpa Hela ya dagaa anunue tukaange maana nyanya Sina,mafuta Sina ila chumvindo kunajirani kanihakishia atanipa nisiwe na wasiwasi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom