peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mimi na shangaa hakuna hata amusha amusha au slogani, ya Nini wafanyakazi wanataka mwakahuu Hapo ndo ninapohitimisha kuwa vyama vya wafanyakazi vinaendeshwa na serikali.Habari za Asubuhi wapendwa!
Binafsi nimeshangazwa na sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi) ya mwaka 2023 kupoa, hakuna ata matangazo wala promo lolote! Kama vile hamna kitu kabisa!
Wafanyakazi tatizo nini?
Umeiandika kiutani lakini inachoma sana moyoni.Yani ACHA tu mie nimejiandaa kwenda kazini mwanangy amenikumbusha Leo ni siku yangu mpaka nikaona aibu nikaishia kumpa Hela ya dagaa anunue tukaange maana nyanya Sina,mafuta Sina ila chumvindo kunajirani kanihakishia atanipa nisiwe na wasiwasi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Pole sana mwalimu, inahuzunishaa!Yani ACHA tu mie nimejiandaa kwenda kazini mwanangy amenikumbusha Leo ni siku yangu mpaka nikaona aibu nikaishia kumpa Hela ya dagaa anunue tukaange maana nyanya Sina,mafuta Sina ila chumvindo kunajirani kanihakishia atanipa nisiwe na wasiwasi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app