Record mpya ni kuongeza tu maslahi ya wafanyakazi, hizo nyingine ni siasaLeo hii, taifa zima linaitazama Singida ambako maelfu ya Watanzania wanaadhimisha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi. Lakini kilicho tofauti mwaka huu si tukio lenyewe, bali hisia mpya zinazoambatana nalo: matumaini, faraja, na shukrani kwa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika macho ya mfanyakazi wa kawaida; mwalimu, nesi, polisi, mlinzi, karani, jina la Rais Samia si jina la siasa tena, bali ni alama ya mabadiliko yanayoonekana wazi na kila mtu hata asiye mfanyakazi katika sekta ya umma.
Kila mwaka wa fedha anahakikisha kuna jambo amefanya katika mahitaji ya watumishi. Mwaka huu tumeona zaidi ya watumishi 18,755 waliokuwa wakisubiri malimbikizo ya mishahara yao, leo wanapumua kwa ahueni. Serikali imelipa jumla ya shilingi bilioni 22.2, fedha ambazo si tu zimerejesha heshima ya mfanyakazi, bali pia zimeleta tabasamu katika familia nyingi. Hili si jambo dogo. Ni ushahidi kuwa Tanzania ina kiongozi anayesikia, anayejali, na anayechukua hatua.
Milango ya ajira mpya kila mwaka, Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025, Serikali imetoa vibali vya ajira mpya 12,936, nafasi halisi za ajira, si ahadi hewani. Hili limeongeza nguvu kazi serikalini, limepunguza ukosefu wa ajira, na kuwapa vijana wengi tumaini jipya la maisha bora na ufanisi serikalini.
Kwa kifupi, Rais Samia ameleta nafuu. Ameleta uhai.
Huyu ni Rais anayefahamu kuwa mfanyakazi mwenye heshima na maslahi bora ni injini ya maendeleo ya taifa. Anaelewa kuwa nyuma ya kila huduma bora hospitalini, shuleni, au barabarani, kuna mfanyakazi mwenye matumaini, si aliyevunjika moyo.
Kwa hiyo, tunaposherehekea Mei Mosi hii, si sherehe tu ya kawaida. Ni sherehe ya ushindi wa mfanyakazi. Ni kumbukumbu ya uongozi unaosikiliza wafanyakazi. Ni mwaka wa Samia na wafanyakazi wake, uthibitisho wa uongozi unaojali.
Tuna kila sababu kusema, Asante Mama Samia. Umeonyesha kuwa usikivu na uongozi vikienda pamoja lazima wananchi watakuwa na tabasamu la aina yake!
"Mfanyakazi ni Nguzo ya Maendeleo,” tuendelee kusimama pamoja, kumuunga mkono, na kuendeleza dira hii ya kweli ya mabadiliko.
Mei Mosi Njema, Kwa heshima ya jasho letu, na kwa moyo wa mshikamano!
No reforms No Election!!Leo hii, taifa zima linaitazama Singida ambako maelfu ya Watanzania wanaadhimisha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi. Lakini kilicho tofauti mwaka huu si tukio lenyewe, bali hisia mpya zinazoambatana nalo: matumaini, faraja, na shukrani kwa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika macho ya mfanyakazi wa kawaida; mwalimu, nesi, polisi, mlinzi, karani, jina la Rais Samia si jina la siasa tena, bali ni alama ya mabadiliko yanayoonekana wazi na kila mtu hata asiye mfanyakazi katika sekta ya umma.
Kila mwaka wa fedha anahakikisha kuna jambo amefanya katika mahitaji ya watumishi. Mwaka huu tumeona zaidi ya watumishi 18,755 waliokuwa wakisubiri malimbikizo ya mishahara yao, leo wanapumua kwa ahueni. Serikali imelipa jumla ya shilingi bilioni 22.2, fedha ambazo si tu zimerejesha heshima ya mfanyakazi, bali pia zimeleta tabasamu katika familia nyingi. Hili si jambo dogo. Ni ushahidi kuwa Tanzania ina kiongozi anayesikia, anayejali, na anayechukua hatua.
Milango ya ajira mpya kila mwaka, Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025, Serikali imetoa vibali vya ajira mpya 12,936, nafasi halisi za ajira, si ahadi hewani. Hili limeongeza nguvu kazi serikalini, limepunguza ukosefu wa ajira, na kuwapa vijana wengi tumaini jipya la maisha bora na ufanisi serikalini.
Kwa kifupi, Rais Samia ameleta nafuu. Ameleta uhai.
Huyu ni Rais anayefahamu kuwa mfanyakazi mwenye heshima na maslahi bora ni injini ya maendeleo ya taifa. Anaelewa kuwa nyuma ya kila huduma bora hospitalini, shuleni, au barabarani, kuna mfanyakazi mwenye matumaini, si aliyevunjika moyo.
Kwa hiyo, tunaposherehekea Mei Mosi hii, si sherehe tu ya kawaida. Ni sherehe ya ushindi wa mfanyakazi. Ni kumbukumbu ya uongozi unaosikiliza wafanyakazi. Ni mwaka wa Samia na wafanyakazi wake, uthibitisho wa uongozi unaojali.
Tuna kila sababu kusema, Asante Mama Samia. Umeonyesha kuwa usikivu na uongozi vikienda pamoja lazima wananchi watakuwa na tabasamu la aina yake!
"Mfanyakazi ni Nguzo ya Maendeleo,” tuendelee kusimama pamoja, kumuunga mkono, na kuendeleza dira hii ya kweli ya mabadiliko.
Mei Mosi Njema, Kwa heshima ya jasho letu, na kwa moyo wa mshikamano!
Nyie watumishi mnachojua ni kuomba kuongezewa mshahara tuu 😂
Miundombinu ya kazi zao ili wafanye kazi katika hariSasa waombe nini mkuu??
Umeelezea vizuri sanaLeo hii, taifa zima linaitazama Singida ambako maelfu ya Watanzania wanaadhimisha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi. Lakini kilicho tofauti mwaka huu si tukio lenyewe, bali hisia mpya zinazoambatana nalo: matumaini, faraja, na shukrani kwa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika macho ya mfanyakazi wa kawaida; mwalimu, nesi, polisi, mlinzi, karani, jina la Rais Samia si jina la siasa tena, bali ni alama ya mabadiliko yanayoonekana wazi na kila mtu hata asiye mfanyakazi katika sekta ya umma.
Kila mwaka wa fedha anahakikisha kuna jambo amefanya katika mahitaji ya watumishi. Mwaka huu tumeona zaidi ya watumishi 18,755 waliokuwa wakisubiri malimbikizo ya mishahara yao, leo wanapumua kwa ahueni. Serikali imelipa jumla ya shilingi bilioni 22.2, fedha ambazo si tu zimerejesha heshima ya mfanyakazi, bali pia zimeleta tabasamu katika familia nyingi. Hili si jambo dogo. Ni ushahidi kuwa Tanzania ina kiongozi anayesikia, anayejali, na anayechukua hatua.
Milango ya ajira mpya kila mwaka, Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025, Serikali imetoa vibali vya ajira mpya 12,936, nafasi halisi za ajira, si ahadi hewani. Hili limeongeza nguvu kazi serikalini, limepunguza ukosefu wa ajira, na kuwapa vijana wengi tumaini jipya la maisha bora na ufanisi serikalini.
Kwa kifupi, Rais Samia ameleta nafuu. Ameleta uhai.
Huyu ni Rais anayefahamu kuwa mfanyakazi mwenye heshima na maslahi bora ni injini ya maendeleo ya taifa. Anaelewa kuwa nyuma ya kila huduma bora hospitalini, shuleni, au barabarani, kuna mfanyakazi mwenye matumaini, si aliyevunjika moyo.
Kwa hiyo, tunaposherehekea Mei Mosi hii, si sherehe tu ya kawaida. Ni sherehe ya ushindi wa mfanyakazi. Ni kumbukumbu ya uongozi unaosikiliza wafanyakazi. Ni mwaka wa Samia na wafanyakazi wake, uthibitisho wa uongozi unaojali.
Tuna kila sababu kusema, Asante Mama Samia. Umeonyesha kuwa usikivu na uongozi vikienda pamoja lazima wananchi watakuwa na tabasamu la aina yake!
"Mfanyakazi ni Nguzo ya Maendeleo,” tuendelee kusimama pamoja, kumuunga mkono, na kuendeleza dira hii ya kweli ya mabadiliko.
Mei Mosi Njema, Kwa heshima ya jasho letu, na kwa moyo wa mshikamano!
Imepitwa na wakati.Sasa hivi ni sallary juu.juu zaidiNo reforms No Election!!
Salary scale yangu ni PMGSS /12/3 take home 2.6 M tsh salary scale yako ni ngapi? Na mi naona ni mshahara MBUZI tuImepitwa na wakati.Sasa hivi ni sallary juu.juu zaidi
Mtaandika mapambio mpaka mtoe ushuzi.Hayo ni maigizo tu.No reforms no election.Leo hii, taifa zima linaitazama Singida ambako maelfu ya Watanzania wanaadhimisha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi. Lakini kilicho tofauti mwaka huu si tukio lenyewe, bali hisia mpya zinazoambatana nalo: matumaini, faraja, na shukrani kwa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika macho ya mfanyakazi wa kawaida; mwalimu, nesi, polisi, mlinzi, karani, jina la Rais Samia si jina la siasa tena, bali ni alama ya mabadiliko yanayoonekana wazi na kila mtu hata asiye mfanyakazi katika sekta ya umma.
Kila mwaka wa fedha anahakikisha kuna jambo amefanya katika mahitaji ya watumishi. Mwaka huu tumeona zaidi ya watumishi 18,755 waliokuwa wakisubiri malimbikizo ya mishahara yao, leo wanapumua kwa ahueni. Serikali imelipa jumla ya shilingi bilioni 22.2, fedha ambazo si tu zimerejesha heshima ya mfanyakazi, bali pia zimeleta tabasamu katika familia nyingi. Hili si jambo dogo. Ni ushahidi kuwa Tanzania ina kiongozi anayesikia, anayejali, na anayechukua hatua.
Milango ya ajira mpya kila mwaka, Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025, Serikali imetoa vibali vya ajira mpya 12,936, nafasi halisi za ajira, si ahadi hewani. Hili limeongeza nguvu kazi serikalini, limepunguza ukosefu wa ajira, na kuwapa vijana wengi tumaini jipya la maisha bora na ufanisi serikalini.
Kwa kifupi, Rais Samia ameleta nafuu. Ameleta uhai.
Huyu ni Rais anayefahamu kuwa mfanyakazi mwenye heshima na maslahi bora ni injini ya maendeleo ya taifa. Anaelewa kuwa nyuma ya kila huduma bora hospitalini, shuleni, au barabarani, kuna mfanyakazi mwenye matumaini, si aliyevunjika moyo.
Kwa hiyo, tunaposherehekea Mei Mosi hii, si sherehe tu ya kawaida. Ni sherehe ya ushindi wa mfanyakazi. Ni kumbukumbu ya uongozi unaosikiliza wafanyakazi. Ni mwaka wa Samia na wafanyakazi wake, uthibitisho wa uongozi unaojali.
Tuna kila sababu kusema, Asante Mama Samia. Umeonyesha kuwa usikivu na uongozi vikienda pamoja lazima wananchi watakuwa na tabasamu la aina yake!
"Mfanyakazi ni Nguzo ya Maendeleo,” tuendelee kusimama pamoja, kumuunga mkono, na kuendeleza dira hii ya kweli ya mabadiliko.
Mei Mosi Njema, Kwa heshima ya jasho letu, na kwa moyo wa mshikamano!
Watu wengi wa Pwani usiwaamini hata kidogo, Uswahili na usanii umewajaa.Leo hii, taifa zima linaitazama Singida ambako maelfu ya Watanzania wanaadhimisha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi. Lakini kilicho tofauti mwaka huu si tukio lenyewe, bali hisia mpya zinazoambatana nalo: matumaini, faraja, na shukrani kwa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan.