Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
That is how it works in the world of espionageYou might be a intelligent officer for rpf government disguising as journalist.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That is how it works in the world of espionageYou might be a intelligent officer for rpf government disguising as journalist.
Mimi ni mnyarwanda mkuu and very proud indeed, usihangaike kunirudisha kwasababu nipo kwetu tayari mkuu, karibu sana kigali. mawazo kama yako, manyanyaso, matusi,na masengenyo, masimango ndo yaliwafanya mashujaa wetu kina Rwigema wakaamua kuchukua siraha ili warudi kwao, sasa hivi tuma kwetu, tuna passport, tuna identity, we have a land we call home. may you rest in internal peace maj.Gen Fred Gisa Rwigema. tutakukumbuka daimakumbe wewe ni Mnyarwanda! Inabidi tukurudishe kwenu haraka
Marekani ya Afrika..........Ndio Maana tuliendelea kuwa maskini wakati tuliokuwa nao Sawa wakati wa uhuru wametuacha mbali.
Pesa nyingi Sana tumetumia kufadhili waasi wa nchi mbali mbali Mfano kabila, mseveni, Huyu,
Nyingine zikaishia kulisha majeshi ya nchi za watu.
Mimi bado huwa najiuliza, ilikuwaje Botswana isijihusishe Sana na mambo ya South Africa na Zimbabwe Kuliko Tanzania??
SAHIHISHO DOGO: Yoweri Kaguta Museveni Tarehe 26 January 1986 alitwaa madaraka kwa mapinduzi baada ya kumuondoa JENERALI TITO OKELLO na sio Dr Milton Apollo OBOTE![]()
MEJA GENERAL FRED EMMANUEL GISA RWIGYEMA BABA WA TAIFA NA MUASISI WA TAIFA JIPYA LA RWANDA, "KWA KILE KILICHOITWA KUREJESHWA KWA WATUSI KATIKA NCHI YA AHADI 'KANANI' (RWANDA)"
Na Comred Mbwana Allyamtu.
Rwigema alizaliwa kwa jina la Emmanuel Gisa alizaliwa Aprili 10, 1957 na kufariki dunia - 2 Oktoba 1990 Rwigema alikuwa ni mwanachama mwanzilishi na kiongozi (charismatic) wa kikosi cha watusi katika ukombozi wa nchi ya Rwanda kilicho julikana kama Rwanda Patriotic Front (RPF), nguvu za kisiasa na kijeshi aliyokuwa nayo ndio iliyompa nguvu hasa kwa jamii ya Watusi wa Rwanda walio ishi uhamishoni, jamii kubwa ya Watusi wakiwa na watoto wao na watu wengi walilazimishwa kuondoka nchini Rwanda baada ya vita ya mwaka 1959 iiyojulikana kama ''Vuguvugu la Kihutu katika Mapinduzi matakatifu" katika hatua hii Rwigema akiwa mtoto wa miaka 2 na familia yao walikimbilia Uganda kama wakimbizi.
Rwigema alizaliwa mwaka 1957 katika mji wa Gitarama uliopo kusini mwa Rwanda, ilipofika Mwaka 1960 yeye na familia yake walikimbilia Uganda na kufikia katika makazi ya kambi ya wakimbizi katika mji wa Nshungerezi uliopo katika jimbo la magharibi la Ankole Karibu kilomita 273 na jiji la Kampala kufatia Mapinduzi ya kikundi cha Kihutu kilichokuwa kikiungwa mkono na utawala wa Rais wa kwanza wa Rwanda Gregory Kayibanda na chama chake cha PREPEHUT hali iliyopelekea Mapinduzi ya 1959 yaliopelekea kuondolewa kwa mfalme wa Rwanda Mwami Kigeri V.
Baada ya Rwigema kumaliza shule ya sekondari mwaka 1976, alikwenda Tanzania baada ya kufanya mawasiliano na Salim Sareh aliokuwa akiishi nchini Tanzania Chini ya uangalizi wa TISS (idara ya usalama wa Tanzania) ikumbukwe kuwa kipindi hicho Tanzania ilikuwa ikiratibu utalatibu wa kumuondoa madalakani IDD Amin Dada. Na hivyo Rwigema akajiunga na kikosi cha Front for National Salvation (FRONASA), kikundi cha waasi kiilicho kuwa kinaongozwa na Yoweri Museveni, na ndugu wa rafiki yake Salim Saleh. Ni katika hatua hii Rwigema alianza kujiita Fred Rwigema.
Baadaye mwaka huo, Fred Rwigema aliamua kusafiri hadi Msumbiji kwa msaada wa Mwalimu Nyerere na idara ya TISS na hatimaye kujiunga na kikosi cha FRELIMO ambao walikuwa wanapigana kwa ajili ya ukombozi wa Msumbiji waweze kuitoa mikononi mwa Mreno na ikumbukwe kuwa wakati huu Ureno ilikuwa imepandikiza vikaragosi vyao kupitia waasi wa Renamo. Na Ilipofika Mwaka 1979, alilejea tena Uganda na kuamua kujiunga na kikosi cha waasi cha Uganda National Liberation Army (UNLA), ambayo pamoja na ushilika wa majeshi ya Tanzania majeshi ya JWTZ na waasi hao waliiteka Kampala mwezi Aprili 1979 na kumfurumisha (ousted) dikteta wa kijeshi wa Uganda "Field Marshal" Idi Amin.
Baadaye Rwigema aliamua kujiunga na kikosi kilicho anzishwa na Museveni katika kikundi cha National Resistance Army (NRA), ambao walipigana vita vya msituni dhidi ya serikali ya Milton Obote. Baada ya NRA kushinda vita hiyo NRA waliteka nguvu katika nchi ya Uganda na kuikomboa mwaka 1986, Rwigema akateuliwa kuwa naibu Waziri wa Ulinzi.
Kama ilivyo kwa legendary wengine Rwigyema alikuwa akipenda sana mchezo wa soka na pia alikuwa na upendo mkubwa kwa watu kitu kilichopelekea yeye kuwa maarufu katika mji wa Kampala, Mara kadhaa kwamba alipokwenda kuangalia mpira kwenye Uwanja wa Nakivubo umati wa watu bila kumpa (ovation) walisimama juu ya mlango kutaka kumuona. Pamoja na sifa ya kuwa shujaa na tactical katika ujanja wa mapigano ya mstuni alikuwa mara kwa mara katika mstari wa mbele katika mapambano kaskazini mwa Uganda wakati wa offensives ya serikali mpya dhidi ya mabaki ya utawala wa Obote na makundi ya wataka madaraka na mfululizo wa makundi ya waasi yaliyo kuwa yanajitokeza.
Ilipo fika Februari 6, 1988, alifanywa kuwa Meja Jenerali na kuteuliwa kama kamanda naibu wa jeshi la National Resistance Army (NRA) katika jeshi la Uganda wakati huo alikuwa anajulikana kama Meja jenerali Fred Rwigema. Na Ilipofika Oktoba 1, 1990, Rwigyema aliamua kuanzisha vuguvugu za kulejea nyumbani kwa Watusi wote waliokuwa wakiishi uhamishoni ndio alianzisha vuguvugu la kurejea Rwanda kwa kuamua kuunda kikundi cha waasi kikundi hicho kiliitwa Rwanda People Front ( RPF) na aliongoza majeshi ya RPF katika vita ya kwanza kabisa dhidi ya serikali ya Rais wa Rwanda wa kipindi hicho Ndugu Habyarimama Juvenal ingawa baadhi ya wachambuzi hudai kwamba msaada mkubwa wa kikundi cha RPF ulitoka Uganda kufadhili kikundi hicho cha waasi na nguvu ya Uganda isingetolewa bila yeye Rwigema.
Hata hivyo mapigano yalikuwa makali sana baada ya serekali ya Habyarimana kupokea msaada wa kijeshi kutoka serekali ya Mobutu huko Zaire, Kikosi cha Mobutu kilivuka mpaka wa mji wa Goma na Gisenyi kuja kujibu mashambulizi dhidi ya uvamizi wa waasi wa RPF. Ikumbukwe kuwa Habyariman alikuwa ni mtoto wa ubatizo wa Mobutu seseseko Kuku Ngwendu Wazabanga Raisi wa mda mrefu wa kongo-DRC iliokuwa ikijulikana kama Zaire wakati huo. Siku iliyofuata yani Katika siku ya pili ya mapambano, Rwigyema alipigwa risasi kichwani na kufa, inadaiwa kuwa pamoja na tamaa ya wapiganaji wa RPF kutaka kupora mali na vitu wakati wa mapigano kuliwafanya kushindwa vibaya vita kitu kilichochangiwa na utovu wa maadili ya jeshi.
Pamoja na hilo Kuna ubishi kuhusu hali halisi ya kifo cha Rwigyema taalifa rasmi iliyotolewa Kigali na serikali ya Rwanda, kupitia toleo liotolewa na zilizotajwa na mchunguzi bwana Gérard Prunier katika historia aliyoitoa mwaka 1995 katika kitabu chake juu ya maisha ya Meja jenerali Fred Rwigema, alieleza kuwa ni kwamba "Rwigyema aliuawa na risasi kupotea". Katika kitabu chake baadaye huyo, Prunier alisema kwamba kuna uwezekano mkubwa kuwa Rwigyema aliuawa na subcommander wake aliyeitwa Peter Bayingana, kufuatia hoja juu ya mbinu na tamaa ya kuongoza kikosi.
Baada ya kifo cha Rwigema ndipo Paul Kagame ambaye sasa ni rais wa nne wa Rwanda aliongoza kikosi hicho kama mkuu wa kijeshi wa RPF na baadae kuwa mkuu na amiri jeshi mkuu wa Rwanda Patriotic Army (RPA) mpaka ushindi ulipopatikana mwaka Julai 1994 kufuatia kumalizika kwa mauaji ya kimbari, ambayo karibu watu milioni moja wengi wao Watusi waliuawa .
Fred Rwigyema ni mmoja wa mashujaa wa taifa la Rwanda hata hivyo mwili wake ulizikwa katika makaburi ya "Heroes Cemetery" ( makaburi ya mashujaa) mjini Kigali. Na siku ya kifo chake yani 2/10.. Ya Kila mwaka ni siku ya mapumziko nchini Rwanda. RWIGYEMA Hutajwa kama mkombozi na mtetezi wa vuguvugu la utaifa nchini Rwanda na serekali ya kagame humtazama kama Baba wa taifa na muasisi wa taifa lipya la Rwanda.
NB:
Kwa taalifa zaidi juu ya historia ya Rwanda kuanzia mwaka 700 AD mpaka utawala wa Poul Kagame Rejea makala yangu :"Je Rwanda iko salama baada ya kumalizika vita ya kimbali?"...
Ndimi: Comred Mbwana Allyamtu.
[emoji767] copy rights reseved
[emoji768]written by Comred Mbwana Allyamtu
•Napatika kwa mawasliano
[emoji769]Comred Mbwana Allyamtu
Kwa Tanzania
+255679555526.
+255765026057.
Kwa Rwanda
+250733153930
+250788214234
Kwa DRC
+243 977 860 824
Kwa Msumbiji (Mozambique)
+27 874791033.
Email- Mbwanaallyamtu990Gmail.com
![]()
Huu ni upotoshaji mkubwa sana, Rwigema kauawa siku ya pili baada ya kuanzisha vita yaani wamevamia Rwanda tarehe 1-10-1990 na Rwigema kauawa 2-10-1990 sasa huo ubakaji wa wanawake, utovu wa nidhamu ulifanyika wapi na lini? uporaji mali ulifanyika wapi na lini? mtu kauawa siku ya pili tu ya vita hayo yote aliyafanya lini?ukisema Mseveni na Kagame walibariki kuuawa kwa Rwigema na kushangaa sana, utakua umeamua kufanya upotoshaji makusudi kutokana na itikadi zako au utakua umesikia story kijiweni tu, Mseveni alikua rafiki yake sana Rwigema, kamsaidia sana kwenye vita ya ukombozi ya Uganda akiwa na mdogo wake Mseveni, Salim Saleh na mpaka leo Rwigema anatambulika kama hero nchini Uganda, na mpaka wakavamia Rwanda vifaa vyote vya kijeshi walipewa na Mseveni, ikumbukwe kwamba wakati Rwigema anaondoka Uganda kwenda kuanzisha vita ya ukombozi nchini Rwanda alikua naibu mkuu wa majeshi ya Uganda, na kwa taarifa yako tu wakati Rwigema anaanzisha vita Uganda Kagame alikua masomoni nchini Marekani na alirudi baada ya Rwigema kuuawa.SAHIHISHO DOGO: Yoweri Kaguta Museveni Tarehe 26 January 1986 alitwaa madaraka kwa mapinduzi baada ya kumuondoa JENERALI TITO OKELLO na sio Dr Milton Apollo OBOTE
Pia ni kweli kwamba FRED aliuawa na mmoja wa walinzi wake ambae aliona hawawezi kupata ushindi katika medani ya kivita kwa vile jeshi lao lilitopea katika utovu wa nidhamu, uporaji mali na ubakaji wa wanawake. na inasemekana MUSEVENI na KAGAME walibariki mauaji hayo
Rest in peace our hero Fred Gisa Rwigema, you will always be in our hearts, isingekua wewe tungeendelea kuwa wakimbizi huko Tanzania tulikozaliwa na kukulia, lakini leo hii kwa uamuzi wako wa kuanzisha vita ya ukombozi tunajivunia kua na nchi huru inayoitwa Rwanda, tunatembea kifua mbele katika ardhi yetu bila kujisingizia makabila kama tulivyokua tukifanya tukiwa Tanzania, wazazi wetu waliokua wakimbizi zaidi ya miaka 30 leo hii wana amani nchini kwao, hakika wewe ni shujaa wetu, ulikua unajali zaidi wanachi kuliko wewe binafsi, ulijitoa na kwenda kuanzisha vita ya ukombozi wakati ulikua na cheo kikubwa Uganda, ungeweza kuendelea kula raha Uganda. hakika utaendelea kua ndani ya mioyo yetu kwa miaka mingi ijayo, FRED GISA RWIGEMA A TRUE HERO.
Kwani umeambiwa Rwanda wanaishi watutsi tu? unajua kabila langu? ni vyema ungewauliza hao unaosema walikimbia, wanalimbia nini na kama kuna aliewakataza kurudi kwao,acha propaganda za kijingaWakati nyie mko Ndani ya Rwanda mnakula matunda ya Nchi, wenzenu Wahutu wako ukimbizini kuwakimbia nyie
Wakati Wahutu wanatawala wewe ulikimbia nini?, nyie kwa maandishi yenu tu mnajulikana, yaani huwezi kunificha kuwa wewe sio Mtusi, cha pili ukijue kabisa hakukuwa naWahutu waliozagaa maeneo ya Kahama, Ushirombo, Geita, Buselesele, Bwanga, Runzewe, Kaniha, Nyakahura nkKwani umeambiwa Rwanda wanaishi watutsi tu? unajua kabila langu? ni vyema ungewauliza hao unaosema walikimbia, wanalimbia nini na kama kuna aliewakataza kurudi kwao,acha propaganda za kijinga
BASHITE WAKO WENGI, UKIBISHANA NA BASHITE NA WEWE UNAGEUKA KUWA BASHITE, HILI NI JUKWAA LA GREAT THINKERS TUNABISHANA KWA HOJA, NIMEGUNDUA WEWE SI MMOJA WAOWakati Wahutu wanatawala wewe ulikimbia nini?, nyie kwa maandishi yenu tu mnajulikana, yaani huwezi kunificha kuwa wewe sio Mtusi, cha pili ukijue kabisa hakukuwa naWahutu waliozagaa maeneo ya Kahama, Ushirombo, Geita, Buselesele, Bwanga, Runzewe, Kaniha, Nyakahura nk
Usikatae Asili yako wewe ni Mtusi, na usiwatukane wala kuwadharau Watanzania kama asili yenu (Dharau) ilivyo, hiko siku utapahitaji sana Tanzania, kama sio wewe basi watoto wako au wajukuu zako
BASHITE WAKO WENGI, UKIBISHANA NA BASHITE NA WEWE UNAGEUKA KUWA BASHITE, HILI NI JUKWAA LA GREAT THINKERS TUNABISHANA KWA HOJA, NIMEGUNDUA WEWE SI MMOJA WAO
Huu ni upotoshaji mkubwa sana, Rwigema kauawa siku ya pili baada ya kuanzisha vita yaani wamevamia Rwanda tarehe 1-10-1990 na Rwigema kauawa 2-10-1990 sasa huo ubakaji wa wanawake, utovu wa nidhamu ulifanyika wapi na lini? uporaji mali ulifanyika wapi na lini? mtu kauawa siku ya pili tu ya vita hayo yote aliyafanya lini?ukisema Mseveni na Kagame walibariki kuuawa kwa Rwigema na kushangaa sana, utakua umeamua kufanya upotoshaji makusudi kutokana na itikadi zako au utakua umesikia story kijiweni tu, Mseveni alikua rafiki yake sana Rwigema, kamsaidia sana kwenye vita ya ukombozi ya Uganda akiwa na mdogo wake Mseveni, Salim Saleh na mpaka leo Rwigema anatambulika kama hero nchini Uganda, na mpaka wakavamia Rwanda vifaa vyote vya kijeshi walipewa na Mseveni, ikumbukwe kwamba wakati Rwigema anaondoka Uganda kwenda kuanzisha vita ya ukombozi nchini Rwanda alikua naibu mkuu wa majeshi ya Uganda, na kwa taarifa yako tu wakati Rwigema anaanzisha vita Uganda Kagame alikua masomoni nchini Marekani na alirudi baada ya Rwigema kuuawa.
Unamaana ganiHaya sawa Giraffe Hotel Jijini Dsm hahahahaha
You are absolutely right here, huyu jakaa amepotosha anavyosema museveni na kagame walibariki assasination ya Rwigyema. Kagame alikuwa USA kwenye kozi ya kijeshi, hii nafasi alitakiwa aende Rwigyema yeye akampa kagame ndo aende
Sababu ya kwanini hasa yule afisa alimuua Rwigyema haiko clear ingawa kuna nadharia nyingi, lakini sababu za huyu mpotoshaji hazina ukweli wala logic ukizingatia vita ndo ilikua ndo kwanza inaanza
Rwigyema was really a charismatic military leader, uncle wangu alikua rafiki na alisoma darasa moja na Museveni udsm, alikutana sana na The Late Rwigyema na mdogo ake Museveni hapa Dar na he paid a visit to Kampala couple of time on early days of Museveni in the office, he always praised Rwigyema of his intelligence and character kuliko maelezo
Sasa kwa nini wamemuua tena dadake Fred ?? Kagame ana nini hasa ?