Meja General Rwigema

kumbe wewe ni Mnyarwanda! Inabidi tukurudishe kwenu haraka
Mimi ni mnyarwanda mkuu and very proud indeed, usihangaike kunirudisha kwasababu nipo kwetu tayari mkuu, karibu sana kigali. mawazo kama yako, manyanyaso, matusi,na masengenyo, masimango ndo yaliwafanya mashujaa wetu kina Rwigema wakaamua kuchukua siraha ili warudi kwao, sasa hivi tuma kwetu, tuna passport, tuna identity, we have a land we call home. may you rest in internal peace maj.Gen Fred Gisa Rwigema. tutakukumbuka daima
 
Marekani ya Afrika..........
 
SAHIHISHO DOGO: Yoweri Kaguta Museveni Tarehe 26 January 1986 alitwaa madaraka kwa mapinduzi baada ya kumuondoa JENERALI TITO OKELLO na sio Dr Milton Apollo OBOTE
Pia ni kweli kwamba FRED aliuawa na mmoja wa walinzi wake ambae aliona hawawezi kupata ushindi katika medani ya kivita kwa vile jeshi lao lilitopea katika utovu wa nidhamu, uporaji mali na ubakaji wa wanawake. na inasemekana MUSEVENI na KAGAME walibariki mauaji hayo
 
Huu ni upotoshaji mkubwa sana, Rwigema kauawa siku ya pili baada ya kuanzisha vita yaani wamevamia Rwanda tarehe 1-10-1990 na Rwigema kauawa 2-10-1990 sasa huo ubakaji wa wanawake, utovu wa nidhamu ulifanyika wapi na lini? uporaji mali ulifanyika wapi na lini? mtu kauawa siku ya pili tu ya vita hayo yote aliyafanya lini?ukisema Mseveni na Kagame walibariki kuuawa kwa Rwigema na kushangaa sana, utakua umeamua kufanya upotoshaji makusudi kutokana na itikadi zako au utakua umesikia story kijiweni tu, Mseveni alikua rafiki yake sana Rwigema, kamsaidia sana kwenye vita ya ukombozi ya Uganda akiwa na mdogo wake Mseveni, Salim Saleh na mpaka leo Rwigema anatambulika kama hero nchini Uganda, na mpaka wakavamia Rwanda vifaa vyote vya kijeshi walipewa na Mseveni, ikumbukwe kwamba wakati Rwigema anaondoka Uganda kwenda kuanzisha vita ya ukombozi nchini Rwanda alikua naibu mkuu wa majeshi ya Uganda, na kwa taarifa yako tu wakati Rwigema anaanzisha vita Uganda Kagame alikua masomoni nchini Marekani na alirudi baada ya Rwigema kuuawa.
 

Wakati nyie mko Ndani ya Rwanda mnakula matunda ya Nchi, wenzenu Wahutu wako ukimbizini kuwakimbia nyie
 
Wakati nyie mko Ndani ya Rwanda mnakula matunda ya Nchi, wenzenu Wahutu wako ukimbizini kuwakimbia nyie
Kwani umeambiwa Rwanda wanaishi watutsi tu? unajua kabila langu? ni vyema ungewauliza hao unaosema walikimbia, wanalimbia nini na kama kuna aliewakataza kurudi kwao,acha propaganda za kijinga
 
Kwani umeambiwa Rwanda wanaishi watutsi tu? unajua kabila langu? ni vyema ungewauliza hao unaosema walikimbia, wanalimbia nini na kama kuna aliewakataza kurudi kwao,acha propaganda za kijinga
Wakati Wahutu wanatawala wewe ulikimbia nini?, nyie kwa maandishi yenu tu mnajulikana, yaani huwezi kunificha kuwa wewe sio Mtusi, cha pili ukijue kabisa hakukuwa naWahutu waliozagaa maeneo ya Kahama, Ushirombo, Geita, Buselesele, Bwanga, Runzewe, Kaniha, Nyakahura nk
Usikatae Asili yako wewe ni Mtusi, na usiwatukane wala kuwadharau Watanzania kama asili yenu (Dharau) ilivyo, hiko siku utapahitaji sana Tanzania, kama sio wewe basi watoto wako au wajukuu zako
 
BASHITE WAKO WENGI, UKIBISHANA NA BASHITE NA WEWE UNAGEUKA KUWA BASHITE, HILI NI JUKWAA LA GREAT THINKERS TUNABISHANA KWA HOJA, NIMEGUNDUA WEWE SI MMOJA WAO
 
BASHITE WAKO WENGI, UKIBISHANA NA BASHITE NA WEWE UNAGEUKA KUWA BASHITE, HILI NI JUKWAA LA GREAT THINKERS TUNABISHANA KWA HOJA, NIMEGUNDUA WEWE SI MMOJA WAO

Hoja gani sasa, naona great thinker umeshatoka nje ya maada na unaanza kuwapa watu majina, unamaana gani kuniita Bashite?
 

You are absolutely right here, huyu jakaa amepotosha anavyosema museveni na kagame walibariki assasination ya Rwigyema. Kagame alikuwa USA kwenye kozi ya kijeshi, hii nafasi alitakiwa aende Rwigyema yeye akampa kagame ndo aende
Sababu ya kwanini hasa yule afisa alimuua Rwigyema haiko clear ingawa kuna nadharia nyingi, lakini sababu za huyu mpotoshaji hazina ukweli wala logic ukizingatia vita ndo ilikua ndo kwanza inaanza
Rwigyema was really a charismatic military leader, uncle wangu alikua rafiki na alisoma darasa moja na Museveni udsm, alikutana sana na The Late Rwigyema na mdogo ake Museveni hapa Dar na he paid a visit to Kampala couple of time on early days of Museveni in the office, he always praised Rwigyema of his intelligence and character kuliko maelezo
 

Kwani Salim Saleh nao ni product ya UDSM
 
Hii bado inaipa uhai ile dhana kwamba PK alihusika ktk mauwaji ya Rwigyema ingawa alikuwa mafunzoni USA wakati wa tukio na ndio hapo wachunguzi wengi wanadai kwamba ndipo ilipoanza sintofahamu baina ya M7 na PK
Sasa kwa nini wamemuua tena dadake Fred ?? Kagame ana nini hasa ?
 
Kuna kitabu kinaitwa BEHIND THE PRESIDENTIAL CURTAIN kimeandikwa na mwandishi Noble Marara aliyekua bordgurd wa kagame kipo humu ndani..kinaelezea ukatili mwingi wa Dikteta Kagame, R.i.p Fred Rwegema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…