SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kawaida unaposikia jengo, barabara, daraja, uwanja nk. vimepewa jina la mtu fulani basi kuna uwezekano mkubwa wa mtu huyo kuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha jambo hilo au kafanya mambo makubwa katika taasisi husika.
Uwanja unaotumiwa na JKT Tanzania umepewa jina la Meja Jenerali Isamuhyo. Inaonyesha huyu muheshimiwa ni au alikuwa mpenda michezo hasa huko jeshini ila bahati mbaya, nje ya kambi za jeshi taarifa zake zimekuwa finyu sana.
Ningependa JKT Tanzania na wadau wengine wa michezo watupe wasifu wa huyu mtumishi ili tumpe maua yake.
Kazi kwenu vijana wa online media, content hiyo nimewapa.