Bonge la content mkuu.Kawaida unaposikia jengo, barabara, daraja, uwanja nk. vimepewa jina la mtu fulani basi kuna uwezekano mkubwa wa mtu huyo kuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha jambo hilo au kafanya mambo makubwa katika taasisi husika.
Uwanja unaotumiwa na JKT Tanzania umepewa jina la Meja Jenerali Isamuhyo. Inaonyesha huyu muheshimiwa ni au alikuwa mpenda michezo hasa huko jeshini ila bahati mbaya, nje ya kambi za jeshi taarifa zake zimekuwa finyu sana.
Ningependa JKT Tanzania na wadau wengine wa michezo watupe wasifu wa huyu mtumishi ili tumpe maua yake.
Kazi kwenu vijana wa online media, content hiyo nimewapa.
Hamna kitu.Bonge la content mkuu.
🙄🙄Weee kweli??Meja Jenerali Michael Isamuhyo alikuwa Mkuu wa JKT (2016-2019)
😂 upuuzi mtupu, itatusaidia nini sisi?!Hamna kitu.
Wanamsifia ujinga tu , jamaa naturally ni mtu wa kuandika pumbq hapa Jf . Uzi kama wake huu hata dogo wa nursery anaweza kuandika.😂 upuuzi mtupu, itatusaidia nini sisi?!
Hiyo content haina mashiko ibaki huko huko jeshini iwasaidie makuruta
JF kila ujinga ni content that’s why twitter (X) itabaki kuwa chanzo kikuu cha habari nyeti ss hivi.. watu km hawa ndio wameiharibu Jamii ForumWanamsifia ujinga tu , jamaa naturally ni mtu wa kuandika pumbq hapa Jf . Uzi kama wake huu hata dogo wa nursery anaweza kuandika.
Haina haja ya kuzinguka Avatar yake inadhihirisha kuwa ni empty boksi.JF kila ujinga ni content that’s why twitter (X) itabaki kuwa chanzo kikuu cha habari nyeti ss hivi.. watu km hawa ndio wameiharibu Jamii Forum
JF kila ujinga ni content that’s why twitter (X) itabaki kuwa chanzo kikuu cha habari nyeti ss hivi.. watu km hawa ndio wameiharibu Jamii Forum
Inatosha mwacheni apumue 😂
Uzi umevamiwa na wanawake wa uswahilini. Nasutwa huku na Bi Aisha na shoga zakeHaina haja ya kuzinguka Avatar yake inadhihirisha kuwa ni empty boksi.
OK.Uzi umevamiwa na wanawake wa uswahilini. Nasutwa huku na Bi Aisha na shoga zake
Nataka kufa mbona amniruhusu nife niacheni nife kufa ni haki yangu ambrrrr mbrrr mbrrrr maamaeeJamaa anazingua kama Maghayo Mabangi.
Alikuwa mkuu wa JKT na pia mlezi wa timu ya JKT aliyeihamasisha hadi ikafikia kuingia kwenye ligi kuu. Alitumikia JKT kwa muda mrefu sana; msikilize Mwamunyange hapa kuanzia dakika ya 6:18.Kawaida unaposikia jengo, barabara, daraja, uwanja nk. vimepewa jina la mtu fulani basi kuna uwezekano mkubwa wa mtu huyo kuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha jambo hilo au kafanya mambo makubwa katika taasisi husika.
Uwanja unaotumiwa na JKT Tanzania umepewa jina la Meja Jenerali Isamuhyo. Inaonyesha huyu muheshimiwa ni au alikuwa mpenda michezo hasa huko jeshini ila bahati mbaya, nje ya kambi za jeshi taarifa zake zimekuwa finyu sana.
Ningependa JKT Tanzania na wadau wengine wa michezo watupe wasifu wa huyu mtumishi ili tumpe maua yake.
Kazi kwenu vijana wa online media, content hiyo nimewapa.
Hahahaha!! nishayamaliza Mzee , mbona unaendeleza ligi ? nishaandika "OK" yaani fine mimi nishaachana na huu Uzi nilikuwa nachangamsha kigenge tu sasa nafanya yangu lakini umeanza kuleta tena pigo za Kike kutomaliza mambo wakati mtu kashaweka silaha chini na kupotezea..Eti OK. Endelea kunichambaa Bi Aisha na shoga zakoo