Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Msanii Mejakunta amejikuta akiishi maisha ya hofu mara baada ya Lebo ya awali aliyokuwa akifanya nayo kazi ya Makers Entertainment kushindwana nao kikazi na kila mmoja kuangalia ustaarabu wake.
Lebo hiyo inayoendeshwa na vijana wawili ambao ni GMaker na Wasowiso wamekuwa wakimuhujumu mara kwa mara Meja Kunta lakini Meja siku zote amekuwa ni mtu wa kukaa kimya tu bila kujibu chochote.
Miongoni mwa vitu walivyovifanya ni kuvujisha baadhi ya nyimbo zake.
Pia kama hiyo haitoshi wameamua kutaka Account zote za Meja Kunta na kufuta nyimbo zote iliMeja ashuke kimuziki.
Ametuonesha ushahidi kupitia video alizozinasa na maongezi yaliyokuwa yakifanyika kati ya Wasowiso na team yao nzima na pia ikimuhusisha DJ wao Venture TZ.
Ushahidi huu hapa 👇👇👇👇👇