Meja Kunta alalamika kutishiwa maisha na Wasowiso na Makers the Gang, Serikali iingilie kati

Msanii Mejakunta amejikuta akiishi maisha ya hofu mara baada ya Lebo ya awali aliyokuwa akifanya nayo kazi ya Makers Entertainment kushindwana nao kikazi na kila mmoja kuangalia ustaarabu wake.

Lebo hiyo inayoendeshwa na vijana wawili ambao ni GMaker na Wasowiso wamekuwa wakimuhujumu mara kwa mara Meja Kunta lakini Meja siku zote amekuwa ni mtu wa kukaa kimya tu bila kujibu chochote.

Miongoni mwa vitu walivyovifanya ni kuvujisha baadhi ya nyimbo zake.

Pia kama hiyo haitoshi wameamua kutaka Account zote za Meja Kunta na kufuta nyimbo zote iliMeja ashuke kimuziki.

Ametuonesha ushahidi kupitia video alizozinasa na maongezi yaliyokuwa yakifanyika kati ya Wasowiso na team yao nzima na pia ikimuhusisha DJ wao Venture TZ.

Ushahidi huu hapa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 2693041
Huyu SI ndio alijifanya amefariki?
 
Screenshot_20230719-210557_1.jpg
 
Ugomvi wa uswahilini hatutegemeagi serikali, mtu akizingua anapewa hukumu ya kibaharia tu. Mnachukua meno ya mbele kila akicheka anakumbuka kuwa na discipline.
 
Msanii Mejakunta amejikuta akiishi maisha ya hofu mara baada ya Lebo ya awali aliyokuwa akifanya nayo kazi ya Makers Entertainment kushindwana nao kikazi na kila mmoja kuangalia ustaarabu wake.

Lebo hiyo inayoendeshwa na vijana wawili ambao ni GMaker na Wasowiso wamekuwa wakimuhujumu mara kwa mara Meja Kunta lakini Meja siku zote amekuwa ni mtu wa kukaa kimya tu bila kujibu chochote.

Miongoni mwa vitu walivyovifanya ni kuvujisha baadhi ya nyimbo zake.

Pia kama hiyo haitoshi wameamua kutaka Account zote za Meja Kunta na kufuta nyimbo zote iliMeja ashuke kimuziki.

Ametuonesha ushahidi kupitia video alizozinasa na maongezi yaliyokuwa yakifanyika kati ya Wasowiso na team yao nzima na pia ikimuhusisha DJ wao Venture TZ.

Ushahidi huu hapa 👇👇👇👇👇

View attachment 2693041
Chai
 
Back
Top Bottom