Msanii Mejakunta amejikuta akiishi maisha ya hofu mara baada ya Lebo ya awali aliyokuwa akifanya nayo kazi ya Makers Entertainment kushindwana nao kikazi na kila mmoja kuangalia ustaarabu wake.
Lebo hiyo inayoendeshwa na vijana wawili ambao ni GMaker na Wasowiso wamekuwa wakimuhujumu mara kwa mara Meja Kunta lakini Meja siku zote amekuwa ni mtu wa kukaa kimya tu bila kujibu chochote.
Miongoni mwa vitu walivyovifanya ni kuvujisha baadhi ya nyimbo zake.
Pia kama hiyo haitoshi wameamua kutaka Account zote za Meja Kunta na kufuta nyimbo zote iliMeja ashuke kimuziki.
Ametuonesha ushahidi kupitia video alizozinasa na maongezi yaliyokuwa yakifanyika kati ya Wasowiso na team yao nzima na pia ikimuhusisha DJ wao Venture TZ.
Tunaomba serikali hili jambo wasilikalie kimya maana kama wameanza kuhack accounts za Meja na kuvujisha baadhi ya nyimbo zake basi hawatashindwa hata kumdhuru kimwili mikakati yao ya awali ikifeli.
Msanii Mejakunta amejikuta akiishi maisha ya hofu mara baada ya Lebo ya awali aliyokuwa akifanya nayo kazi ya Makers Entertainment kushindwana nao kikazi na kila mmoja kuangalia ustaarabu wake.
Maisha ni vita bro,hakuna lele mama,
Huko majuu,studio za kutengeneza muvi,zimeona badala ya kutumia wasanii kutengeneza muvi,bora watumie AI,artificial intelligence,ambayo inaweza ikatumika kumtengeneza msanii artificial,ikamfanya aongee na kutenda kama mtu harisi vile,msanii AI,inaweza ikatengeneza muonekano wa msanii,akiwa kijana au mtoto,
kuna msanii wa Hollywood ana miaka 80+,Imetengenezwa sinema,inamuonesha akiwa kijana wa miaka 35!
Sasa makampuni yanaona bora kutumia AI kuliko wasanii,
Wasaniii wameandamana kupinga na kuhofia kupoteza ajira zao!hiyo ndio dunia,