Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vibaya kuwa mweusi?dogo huyo akikua atakuwa black hatari
Kwanini hujauliza ni Vizuri kuwa mweusi?Ni vibaya kuwa mweusi?
Mkuu kwani alipombeba huyo mtoto akapaza sauti kuu akasema "NIMEOKOOKAAA" au alimbeba tu afu akamshusha...Mke wa raisi wa 45 wa USA M.Trump akifurahia kubeba mtoto wa Kiafrika kwa mara ya kwanza tangia azaliwe, ...
View attachment 887276
Ni kulingana na sentensi yako. Inadhihirisha kwamba una ubaguzi wa rangi.Kwanini hujauliza ni Vizuri kuwa mweusi?
Ndo nashangaa kwani yeye ni nani, mbona sisi hatutangazwi tukiwabeba watoto waoSijaelewa vizuri,kwani ina maana sehemu nyigine alishawahi kubeba watoto wa mataifa mengine..!
Ubaguzi wa rangi? Naomba nielezee maana ya ubaguzi wa rangi!Ni kulingana na sentensi yako. Inadhihirisha kwamba una ubaguzi wa rangi.
Hata mimi sijui 😅😀😀Ubaguzi wa rangi? Naomba nielezee maana ya ubaguzi wa rangi!
Waafrika kwa waafrika ubaguzi wa Rangi unatokea wapi?Hata mimi sijui 😅😀😀