Melania Trump atinga mbugani!!

Amefurahikia sana trip yake humu nchini na kuahidi kumburuza mmewe, mzee wa kazi trump! naye aje akatize mbugani[emoji109] [emoji191] [emoji16] [emoji208]
 
Walinzi wetu huvaa hovyo na hawataki pigwa picha
 
Tatizo ya hiyo mbuga ya Nairobi haina wanyama wengi unaweza zunguka muda mrefu na kuona baadhi tu ya wanyama.
 
Kwaheri ya kuonana Melania, Kenya hakuna matata![emoji113] [emoji122] [emoji3]
 

Attachments

  • FB_IMG_1538841701566.jpg
    93 KB · Views: 20
Hahahaha,huyu tusingemruhusu Tanzania mume wake sialiita Nchi za Africa shithole!!? kwaiyo hapo ametembelea kenya ambayo ni mojawapo ya nchi za kiafrika ambazo mume wake aliita shimo la choo si jui upuuzi gani....huku...Tz hatusahaugi kitu...
 
hongereni wakenya kwa kutembelewa
 
she is so friendly. Seems she likes Africa and the people evident on how she interact with the kids. She's fond of Kenya's first lady too.
Very different from his hubby doughnut dumb
 
Mbona alienda mbuga inayomilikiwa na wazungu, na sio mbuga kama maasai mara ama Tsavo?

Mimi naona Trump anataka kununua shamba kubwa aina ya conservancy uko nanyuki wapakane na Uhuru, British military outpost, American foreign base, na pia base itakayokuja ya kichaina!

Hapa maasai na samburu wa kenya watanyoroshwa safi sana! Wacha wavuke tu na ngombe kwa eneo izo!
 
Hongera kwa Maggie, kumbe Office of the First Lady pia inaeza ikaandaa vitu vya maana kama hivi? Very Nice!
 
next time aje Bongo...aje kuona visivyo julikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…