Melchizedek na utata unaomzunguka

Huielewi bible na hutoweza kumwelewa Paulo maana na yeye alikuwa great thinker.Watu waliomezeshwa huwa wanabisha hadi facts.

Ngoja nikuonyeshe uone James, ndugu yake Yesu na Mwanafunzi wa Yesu alimuonaje Paulo

Paulo anasema kwenye kitabua cha Warumi kama ifuatavyo kwenye Warumi (4: 1-3)

4 usemeje basi kuhusu baba yetu Abrahamu? Yeye alijifunza nini?2 Ikiwa Abrahamu alihesabiwa haki kwa matendo, basi anacho kitu cha kujivunia, lakini si mbele za Mungu. 3 Maandiko yanase maje? “Abrahamu alimwamini Mungu na kwa ajili ya imani yake aka hesabiwa haki.”
Source :

https://www.biblegateway.com/passage/?search=warumi+4&version=SNT


Hapo Paulo anasisitiza Imani kuwa Yatosha na kwamba Matendo si hoja sana mbele ya Mungu

Chini hapa nakuwekea Majibu ya James ndugu yake Yesu, kwenye kitabu cha James (Kwa Mujibu wa King James Version(KJV) na New International version (NIV), kinaitwa James) ila kwa ajili yako wewe Mswahili wamekubadirishia hadi jina la kitabu badala ya Kukiita kitabu cha James wamekiita kitabu cha Yakobo, sijui walitaka kutuficha nini sisi waswahili [Hili ni somo jingine ngoja nisiingize mada ndani ya mada] 😀 😀

Yakobo 2:20-23 Inasema:

Ewe mpumbavu, unataka ushahidi wa kuthibitisha kwamba imani bila matendo ni bure? 21 Je, Abrahamu baba yetu hakuhesa biwa haki kwa matendo, alipomtoa mwanae Isaki madhabahuni? 22 Unaona jinsi ambavyo imani ilitenda kazi pamoja na matendo yake na imani ikakamilishwa kwa matendo. 23 Kwa njia hiyo yaka timizwa yale Maandiko yasemayo, “Abrahamu alimwamini Mungu, na kwa imani yake akahesabiwa kuwa mtu mwenye haki”; naye akaitwa rafiki wa Mungu.
Source:


Kwa Kiingereza(Kutoka New International Version) kitabu hicho hicho ambacho sasa kinakwenda kwa jina la James kinasema:

James 2: 20-23

20 You foolish person, do you want evidence that faith without deeds is useless[d]? 21 Was not our father Abraham considered righteous for what he did when he offered his son Isaac on the altar? 22 You see that his faith and his actions were working together, and his faith was made complete by what he did. 23 And the scripture was fulfilled that says, “Abraham believed God, and it was credited to him as righteousness,”[e]and he was called God’s friend. 24 You see that a person is considered righteous by what they do and not by faith alone.
Source: https://www.biblegateway.com/passage/?search=James+2&version=NIV


UMEONA MANENO MAKALI AMBAYO JAMES NDUGU YAKE YESU ANAMTOLEA PAULO KWA MAFUNDISHO YAKE?

Hapo sijagusia jinsi James alivyomtega Paulo kuhakikisha anafuata sheria za Kiyahudi mbele ya kadamnasi ya Wayahudi ili kuthibitisha kama kweli anasimamia misimamo yake ya kuwa "tumefunguliwa kutoka katika minyorro ya torati ya Musa, au Sharti mwanafunzi wa Yesu aendee kutii Torati?
Kwa Taarifa zako Paulo siku hiyo hakuwa na jinsi ilibidi afuate ritual zote za Wayahudi la sivyo hakuna Myahudi ambaye angemchukulia serious kabisa na mafundisho yake!

Soma Biblia ndugu uelewe, usikubali kupelekwa pelekwa
 
Kwa Taarifa zako Paulo siku hiyo hakuwa na jinsi ilibidi afuate ritual zote za Wayahudi la sivyo hakuna Myahudi ambaye angemchukulia serious kabisa na mafundisho yake!
Mkuu kumbuka Paulo ndio mtume maarufu ndani ya agano jipya ambaye habari zake na hata barua zake zimechukua sehemu kubwa ya agano jipya kuliko hata baadhi ya wanafunzi wa Yesu hivyo usimdunishe hivyo huyu mtumishi wa Mungu.
 
Ndio maana Nikakwambia huielewi bible,,toka mwanzo wa mjadala hatukuwa tumeielewa identity yako ila kwa sasa uko wazi na umejionyesha dhahiri na kwa hakika hakuna mkristo atakaekuelewa zaidi ya wakristo feki kama Jehovah witness na wale wengine uliowataja hapo juu.Na bila shaka umebakisha biblia ya mshirikina beyonce kusaidia mawazo yako ya kigonjwa.New international version ni biblia ya Wase.nge na wameiandika kwa ujazo wa akili zao chafu.Ungekuwa unamwelewa Paulo ungekuwa Umeelewa ukristo kwa sehemu kubwa sana.Mwisho wewe na akili yako jifunze zaidi dini yako.Ukitumia akili hio kumwelewesha mkristo ni aibu Maana unaeleza kitu usichokipenda na usichokielewa mwisho wa siku unaonekana kuandika ujinga mtupu.
 
Kuwa na akili bhasi..

Yesu alizaliwa
Unaambiwa huyu hakuwa na mama wala baba

Lakni yesu alikuwa na mama ambye ni maria.. Sasa sifa zinafananaje?
 
Mwanangu wa kiume nita muita Melchzedek bonge la jina lenye utukufu.
Melchizedek is an old Canaanite name meaning “My King Is [the god] Sedek” or “My King Is Righteousness” (the meaning of the similar Hebrew cognate). Salem, of which he is said to be king, is very probably Jerusalem. Psalm
 
Melchizedek is an old Canaanite name meaning “My King Is [the god] Sedek” or “My King Is Righteousness” (the meaning of the similar Hebrew cognate). Salem, of which he is said to be king, is very probably Jerusalem. Psalm
Hakika.
 
Dah! Naona huyo kuliko Yesu maana Yesu ana mama.
 
Yesu alipokuja duniani alikuja katika 4m ya mwili
Na utukufu na baadhi ya mamlaka yake aliyaacha Mbinguni...

Na hapo tunapata sababu ya yeye kujibu vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…