Unataja kuwa kwenye biblia Kuna watu watatu ambao hawakua na wazazi mmoja ndo huyu melkizedeki Sasa hao wengine ni kina Nani ?Melikizedeki.. Ni mmoja ya wafalme , kama walivyokua wafalme wengine.
Biblia haijataja kumuelezea sanaaa ndomaana akaingizwa ktk watu watatu ambao ndani ya biblia hawaonekani kua na wazazi.
Kwa uelewa wangu mdogo, nadhan hakuandikwa sana kama sehem ya mambo ambayo hayakua na umuhim kivile.
In fact hata biblia ya leo ni ufupisho tu ila mambo ni mengiiiiii sana Chief !!!
Yesu alikuwa na Mama na alizaliwa kwa hiyo hawezi kuwa Melkizedeki maana kwa mujibu wa maandiko Melkizedeki hana mama.
Yesu hakuwa na mama,,huyo mariam aliemzaa Yesu alikuwa njia tu na sio mama kamili,,hakuna mwanaume aliemuingia mariam ili apate mimba kwa hio Alikuwa Kama surrogate tu kwa Yesu na hana umama wowote.
Hongera mkuu kwa kuwa na jina zito hivyo.Umenifikirisha sana mkuu kuhusu huyu WAJINA wangu be blessed ,,nitamfuatilia zaidi
Mkuu nmekuelewa sana hoja yako nzito ila labda ningejibu hili swali.Mwisho kama kitabu cha waebrania haijulikani mwandishi wake inatosha kukidisqualify?
Sikujua kama Maria hakumzaa, kumnyonyesha wala kumlea Yesu utotoni
Basi inabidi tufundishwe upya kuwa Maria siyo mama yake Yesu
Nimetumia neno ""surrogate" kiswahili chake ndio Sina kwa sasa,,ila hata mwanamke alie surrogate akizaa nae hutoa maziwa na hulipwa kwa kazi ya kubeba mimba na kunyonyesha mtoto.Na hii haimpi ile hadhi au nafasi ya kuwa mama.Kazi yake ikiisha imeisha analipwa na anakabidhi mtoto kwa wazazi wake
Ni kweli alifanyika mama ili kumpa uhalali wa kuwepo duniani ila nilichomwelewa mleta mada Ni kwamba hakua na mama kwasababu ya NATURE yake,yani alikuepo kabla hajaja duniani,hakuumbwa kwahiyo chanzo chake Ni uungu kwa tafsiri hiyo Hana mama,lakini baada ya kuja duniani anae mama ambae alimzaaBiblia inamtambua Maria kama mama yake Yesu, Tena ni maneno ya Malaika wa Bwana.
Kwa hiyo sisi tunamsikiliza malaika wa Bwana zaidi siyo wewe unayesema Maria siyo mama yake Yesu ila "ni kibebo cha mimba(surrogate) tu
Mathayo: 2: 19-21 Inasema
19 Baada ya kifo cha Herode, malaika wa Bwana alimtokea Yosefu katika ndoto kule Misri, 20 akamwambia, "Amka! Mchukue mtoto pamoja na mama yake, urudi tena katika nchi ya Israeli, maana wale waliotaka kumwua mtoto huyo wamekwisha kufa." 21 Basi, Yosefu aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akarejea katika nchi ya Israel
Biblia inamtambua Maria kama mama yake Yesu, Tena ni maneno ya Malaika wa Bwana.
Kwa hiyo sisi tunamsikiliza malaika wa Bwana zaidi siyo wewe unayesema Maria siyo mama yake Yesu ila "ni kibebo cha mimba(surrogate) tu
Mathayo: 2: 19-21 Inasema
19 Baada ya kifo cha Herode, malaika wa Bwana alimtokea Yosefu katika ndoto kule Misri, 20 akamwambia, "Amka! Mchukue mtoto pamoja na mama yake, urudi tena katika nchi ya Israeli, maana wale waliotaka kumwua mtoto huyo wamekwisha kufa." 21 Basi, Yosefu aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akarejea katika nchi ya Israel
Ni kweli alifanyika mama ili kumpa uhalali wa kuwepo duniani ila nilichomwelewa mleta mada Ni kwamba hakua na mama kwasababu ya NATURE yake,yani alikuepo kabla hajaja duniani,hakuumbwa kwahiyo chanzo chake Ni uungu kwa tafsiri hiyo Hana mama,lakini baada ya kuja duniani anae mama ambae alimzaa
Elia naye hajulikani chimbuko lake lilikuwa ni wapi hakuwa na mzazi na hakuwahi kufa piaUnataja kuwa kwenye biblia Kuna watu watatu ambao hawakua na wazazi mmoja ndo huyu melkizedeki Sasa hao wengine ni kina Nani ?
Kwahiyo mkuu Kiufupi Melchizedek ndio YesuMkuu Missile of the Nation huyo melikzedech hapa duniani alipita tu hakukaa,,hata Mungu aliwahi mtokea Ibrahim ila hakukawia kurudi alikotoka,,lakini Yesu aliishi hapa duniani miaka 33.Na kama melikzedech angeishi hapa duniani sharti angeuvaa mwili.Maana dunia haiko compatible na viumbe roho.Kwa nini Yesu ndie melikzedech ni kwa sababu ya ukuhani na uhusiano wa mwili wake na agano jipya ambalo limefungamana na damu yake.
"Utambebesha zigo kubwa sana" Take care...Hapa tu kuna utata yeye ataliweza?Mwanangu wa kiume nita muita Melchzedek bonge la jina lenye utukufu.