ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Nilivyojibu ndivyo nilivyoelewa , kama ujakubaliana na jibu langu unaruhusiwa kutoa tafakuri zakoSomatena uelewe nilichoandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilivyojibu ndivyo nilivyoelewa , kama ujakubaliana na jibu langu unaruhusiwa kutoa tafakuri zakoSomatena uelewe nilichoandika
Kama ulikuwa ufahamu Yesu alikuwa Nabii, mfalme na kuhani , wewe mbona umekomaa na ukuhani na ufalme tu ? unalazimisha kitu gani hapoSamweli hakuwahi kuwa mfalme. Zamani za kuhani Samweli taifa la serikali ya wana wa Israeli ilikuwa Theocratic, yaani Mungu mwenyewe alikuwa akitawala kama mfalme. Kumbuka ni wakati wa Samweli waisraeli walilazimisha wawe na mfalme kama mataifa mengine, ndipo akachaguliwa mfalme wa kwanza aitwaye Sauli. Hoja ni hiyo hoyo kwa Eli kuhani.
Kuhani na mfalme ni Yesu Kristo peke yake, tafuta biblia nzima.
Nijibu hili swali, ukuhani kati ya wanadamu ulianza lini? Lengo la ukuhani huo lilikuwa lipi?
Ni sawa, ila fahamu kuwa Yesu amekuja kwa baadhi ya wanadamu wakati wa agano la kale, isipokuwa hakuja kama Masihi, unajua hilo?" kujionyesha kwa wanadamu na kuishi nao ". hii ni lazima azaliwe ndivyo utabiri unavyotaka rejea ISAYA , hivyo ni watu wawili tofauti hapa naweka kumbukumbu sawasawa
Yesu Kristu ni mfalme na kuhani. Musa alotabiri kuwa atainuka nabii kati ya waisraeli kama yeye ambaye atatoka kwa Mungu, sifa aliyokuwa nayo Yesu. Sasa sijui hiki kinahusiana nini na mada iliyopo mezaniKama ulikuwa ufahamu Yesu alikuwa Nabii, mfalme na kuhani , wewe mbona umekomaa na ukuhani na ufalme tu ? unalazimisha kitu gani hapo
Soma nilichoandika ndio ujibu, nimetoa ufafanuzi wa sura nzima,unataka nini tena?Nilivyojibu ndivyo nilivyoelewa , kama ujakubaliana na jibu langu unaruhusiwa kutoa tafakuri zako
Haitoshi kusema Melkizedeki na Yesu ni mtu yuleyule, hiyo ni dhana tu, na kwenye hii mada nzima tumeonyesha kwa rejea ya maandiko kuwa hawa ni watu wawili tofauti na wale wanaojaribu kuwaequate kuwa ni mtu mmoja yule yule wanafuata falsafa, connecting dots lakini hoja zao hazisimami zikatengamaa.
Yesu tunajua alikuja duniani kupitia Bikira Maria kwa mimba ambayo ni Neno la Mungu bila kupitia njia ya kawaida ya tendo la ndoa, Sasa unaamini Yesu huyu huyu amewahi kuja huko nyakati za Abrahamu miaka ya nyuma kidogo kwa jina lingine la Melkizedeki kupitia mwanamke mwingine lakini safari hii kupitia njia ya kawaida ya tendo la ndoa la mwanamke huyo kuingiliwa na mwanaume?
Maana Melkizedeki japo ukoo wake haukutajwa lakini alikuwa ni mtu aliyezaliwa na mwanamke na mwanaume
maandiko yanaposema Melkizedeki hana baba hana mama, ieleweke in context haimaanishi kwamba hakuzaliwa, hakuna Mtu aliyewahi kuexist duniani bila kuzaliwa na mwanamke except ADAMU na EVA peke yao
Tusibebe imani za wapagani za Wahindu za Masuala ya Incarnation tukayaingiza kwenye Bible, ni makosa kufanya hivyo
Hakuna rejea ya maandiko uliyoithibitisha mpaka sasa. Kwa nini unakwepa hoja za kimaandiko zilizotolewa badala yake unaleta mtazamo wako?
Kuliko kushikilia mtazamo wako ungethibitisha hili kwa maanfiko. Kwanza thibitisha Melkizedeki alizaliwa na mwanamke, usiungeunge, lete hoja kimasndiko kama tulivyokuthibitishia kwa maandiko kuwa hakuwa na wazazi, hana mwanzo wala mwisho wa nyakati.
Toa uthibitisho wa maandiko nami nitakuwekeavwazi mbele yako. Malaika mara zote wametokea duniani kama binadamu. Soma habari ya Sodoma na Gomora,, Ibrahim na Sara n.k. Kristo ameshuka kwa wanadamu mara kadhas katika agano la kale ila alikuwa hajadhihirishwa.
Tusibebe imani za mpinga Kristo na kuzileta kwenye biblia, Mungu anaweza yote na hana mwanzo wala mwisho. Tusimlinganishe Mungu na mipaka ya fikra zetu.
Pia jifunze biblia upya uelewe mpango wa ukombozi ulivyo usiamini uongo tena. Ukitulia katika Roho utaliona agano jipya katika agano la kale. Yaliyoko yalishakuwako wala hakuna jipya chini ya jua. Ukiendelea na huo usomaji wako kuona kama ni maagano mawili yasiyotegemeana utaendelea katika upotofu wako. Huwezi kamwe kufahamu ni jinsi gani agano jipya linalikamilisha agano la kale.
Iweje waonekane kama binadamu na hawakuzaliwa? Mambo ya bin adam ni uswahili huo, mimi hoja yangu ni hiyo. Kwa nini waonekane kama binadamu, wale chakula wakati wao si binadamu?Malaika ni watu?
Malaika ni Binadamu?
Wewe mwenyewe umeshasema Malaika wameonakana "KAMA" Binadamu, hilo neno "KAMA" peke yake linakuonyesha kuwa hao Malaika hawakuwa Binadamu!
Ukisoma bandiko langu la nyuma nimelizungumza hili la Malaika kuonekana kama Binadamu lakini hakuwafanyi wawe Binadamu
Kiufupi, neno BINADAM ni muunganiko wa maneno BIN ADAM , ni maneno tuliyoyatohoa kutoka lugha ya kiarabu yenye maana ya "MWANA WA ADAMU", Yaani aliyetokana na Adam, Sasa wapi umesikia Malaika wametokana na Adamu?
Wafilipi 2Malaika ni watu?

Good explanationWafilipi 2
⁶ ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho;
⁷ bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;
⁸ tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.
Basi mkuu, kwa sababu ni aina ya usomaji wako kuchukua neno moja moja na kulijengea maana kadri utakavyo, nakupa maneno kama yako hapa ili tuone ni kwa jinsi gani utapinga uungu wa Yesu:
1. Alijifanya hana utukufu
2. Alikuwa mfano wa mwanadamu
3. Ana umbo kama mwanadamu
Unalielezeaje hili? Kwa nini basi unapinga uungu wa Kristo kama maandiko yako hivi?
Mama Maria ndio mama na Yesu.Yesu hakuwa na mama,,huyo mariam aliemzaa Yesu alikuwa njia tu na sio mama kamili,,hakuna mwanaume aliemuingia mariam ili apate mimba kwa hio Alikuwa Kama surrogate tu kwa Yesu na hana umama wowote.
Kwa hiyo mama yako ni surrogate.Nimetumia neno ""surrogate" kiswahili chake ndio Sina kwa sasa,,ila hata mwanamke alie surrogate akizaa nae hutoa maziwa na hulipwa kwa kazi ya kubeba mimba na kunyonyesha mtoto.Na hii haimpi ile hadhi au nafasi ya kuwa mama.Kazi yake ikiisha imeisha analipwa na anakabidhi mtoto kwa wazazi wake
Mkuu soma andiko vizuri tenaNi kweli alifanyika mama ili kumpa uhalali wa kuwepo duniani ila nilichomwelewa mleta mada Ni kwamba hakua na mama kwasababu ya NATURE yake,yani alikuepo kabla hajaja duniani,hakuumbwa kwahiyo chanzo chake Ni uungu kwa tafsiri hiyo Hana mama,lakini baada ya kuja duniani anae mama ambae alimzaa
Wafilipi 2
⁶ ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho;
⁷ bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;
⁸ tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.
Basi mkuu, kwa sababu ni aina ya usomaji wako kuchukua neno moja moja na kulijengea maana kadri utakavyo, nakupa maneno kama yako hapa ili tuone ni kwa jinsi gani utapinga uungu wa Yesu:
1. Alijifanya hana utukufu
2. Alikuwa mfano wa mwanadamu
3. Ana umbo kama mwanadamu
Unalielezeaje hili? Kwa nini basi unapinga uungu wa Kristo kama maandiko yako hivi?
Nisome vizuri Nini specify mkuuMkuu soma andiko vizuri tena
Wewe nafikiri kaanzishe mada yako maana naona hauelewi misingi ya hii dunia kuumbwa.JIBU LANGU NI KWAMBA KWENYE MAANDIKO FUATA KWANZA KAULI YA YESU MWENYEWE ILIYO CLEAR KABISA KABISA IASIYO NA MAWAA KABLA YA KUAFUATA KAULI AU OPINION YA MTU YEYOTE HATA KAMA MTU HUYO NI MWANAFUNZI WAKE AU ANAYEDAI KUTOKEWA NA YESU NJIANI AKIELEKEA DAMASCUS (PAULO)
Ngoja nikuulize, hivi wewe kwa mtizamo wako maneno aliyoyasema Paulo, James, Petro au mtu yeyote yakikinzana na maneno halisi ya Yesu yapi unayapa precedent?. Maneno ya nani yanakuwa Final Finito?
Kwa mfano, ukisoma bible vizuri utaona mara kadhaa James ambaye ni mwanafunzi wa Yesu, aliyeishi na Yesu na ni ndugu wa Yesu akigombana mara kibao na Paulo juu ya mafundisho ya Paulo, James analalamika kuwa Paulo analeta baadhi mafundisho mapya na si yale aliyoyafundisha Yesu mwenyewe hususan mafundisho ya kuendelea kuheshimu Sheria za torati vs kuachana na sheria hizo!
Kwa mfano James anatofautiana na Paulo kwenye suala la nani mwenye kuhesabiwa haki, Paulo anasema kwenye Warumi 4:1-5 kuwa mtu anahesabiwa haki kwa IMANI yake na si Matendo yake, akaenda mbele kutoa mfano wa Abrahamu kuwa alihesabiwa haki mbele ya Mungu kwa Imani yake na si matendo yake japo matendo yake mazuri ni kitu cha kujivunia yeye binafsi.
James akamjibu Paulo kwenye James 2:24 kuwa Imani bila MATENDO imani hiyo Imekufa!, James akaenda mbali kutoa mfano wa kwenye agano la Kale juu ya yule kahaba Rahabu aliyewapoteza wapelelezi waliokuja kupeleleza katika nchi yao kwa kuwadanganya njia, na kwa kitendo cha kufanya hivyo tu huyo kahaba akahesabiwa haki!
Kwa hiyo Unaona hawa ni watu wawili wenye mawazo tofauti juu ya kuhesabiwa haki mbele ya Mungu kwa hiyo point yangu ni kwamba, kwa kuwa hata wao wana mitizamo inayokinzana juu ya mambo ya Mungu Sembuse Mmoja apingane na Kauli ya Wazi ya Yesu Mwenyewe?
Yesu kajiita Mtu, Kasema wazi kuwa na yeye pia ana Mungu anayemwabudu, Kasema BABA yake ni Mungu wake na pia ni Mungu wetu THEN baadae atokee mtu mmoja anayeitwa Paulo au Yeyote yule kisha aseme "Jamani eeeh Hapana, Yesu naye ni Mungu", anatoa kauli opposite kabisa na Yesu mwenyewe, mimi nasema Kauli ya kusikiliza hapo ni KAULI YA YESU MWENYEWE, HAWA WENGINE WAMETOA OPINION YAO TU!, OPINION YAO ITAKUWA NA UZITO IKIFANANA NA MAFUNDISHO YA KRISTO MWENYEWE ,IKIENDA AGAINST NAYE SISI TUNACHUKUA MANENO YA KRISTO NDO YANAKUWA FINAL!
Wewe nafikiri kaanzishe mada yako maana naona hauelewi misingi ya hii dunia kuumbwa.
Haujui muunganiko wa maagano yote mawili.
Hapa tunanyonya ilimu kwa wabobezi.
Sasa ilimu hii itapotea ukiendelea kufanya huo upotoshaji wako wa kukariri neno moja moja.
Anzisha mada wenzako kina faiza wakufuate.
JIBU LANGU NI KWAMBA KWENYE MAANDIKO FUATA KWANZA KAULI YA YESU MWENYEWE ILIYO CLEAR KABISA KABISA ISIYO NA MAWAA KABLA YA KUAFUATA KAULI AU OPINION YA MTU YEYOTE HATA KAMA MTU HUYO NI MWANAFUNZI WA YESU AU ANAYEDAI KUTOKEWA NA YESU NJIANI AKIELEKEA DAMASCUS (PAULO)
Ngoja nikuulize, hivi wewe kwa mtizamo wako maneno aliyoyasema Paulo, James, Petro au mtu yeyote yakikinzana na maneno halisi ya Yesu yapi unayapa precedent?. Maneno ya nani yanakuwa Final Finito?
Kwa mfano, ukisoma bible vizuri utaona mara kadhaa James ambaye ni mwanafunzi wa Yesu, aliyeishi na Yesu na ni ndugu wa Yesu akigombana mara kibao na Paulo juu ya mafundisho ya Paulo, James analalamika kuwa Paulo analeta baadhi mafundisho mapya na si yale aliyoyafundisha Yesu mwenyewe hususan mafundisho ya kuendelea kuheshimu Sheria za torati vs kuachana na sheria hizo!
Kwa mfano James anatofautiana na Paulo kwenye suala la nani mwenye kuhesabiwa haki, Paulo anasema kwenye Warumi 4:1-5 kuwa mtu anahesabiwa haki kwa IMANI yake na si Matendo yake, akaenda mbele kutoa mfano wa Abrahamu kuwa alihesabiwa haki mbele ya Mungu kwa Imani yake na si matendo yake japo matendo yake mazuri ni kitu cha kujivunia yeye binafsi.
James akamjibu Paulo kwenye James 2:24 kuwa Imani bila MATENDO imani hiyo Imekufa!, James akaenda mbali kutoa mfano wa kwenye agano la Kale juu ya yule kahaba Rahabu aliyewapoteza wapelelezi waliokuja kupeleleza katika nchi yao kwa kuwadanganya njia, na kwa kitendo cha kufanya hivyo tu huyo kahaba akahesabiwa haki!
Kwa hiyo Unaona hawa ni watu wawili wenye mawazo tofauti juu ya kuhesabiwa haki mbele ya Mungu kwa hiyo point yangu ni kwamba, kwa kuwa hata wao wana mitizamo inayokinzana juu ya mambo ya Mungu Sembuse Mmoja apingane na Kauli ya Wazi ya Yesu Mwenyewe?
Yesu kajiita Mtu, Kasema wazi kuwa na yeye pia ana Mungu anayemwabudu, Kasema BABA yake ni Mungu wake na pia ni Mungu wetu THEN baadae atokee mtu mmoja anayeitwa Paulo au Yeyote yule kisha aseme "Jamani eeeh Hapana, Yesu naye ni Mungu", anatoa kauli opposite kabisa na Yesu mwenyewe, mimi nasema Kauli ya kusikiliza hapo ni KAULI YA YESU MWENYEWE, HAWA WENGINE WAMETOA OPINION YAO TU!, OPINION YAO ITAKUWA NA UZITO IKIFANANA NA MAFUNDISHO YA KRISTO MWENYEWE ,IKIENDA AGAINST NAYE SISI TUNACHUKUA MANENO YA KRISTO NDO YANAKUWA FINAL!
Hujui lolote kuhusu maandiko, zaidi sana umekaririshwa aya za kubishania, ambazo pia huwezi kuzitetea kwa vile ni uongo.Mada inapanuka kadri inavyoendelea, Hii mada ni dynamic siyo static.
Mtu akileta upotoshaji ndani ya hoja yake TUNANYOOSHA KWANZA ILI MADA IBAKI KATIKA MSITARI
Hatuwezi kupata ufahamu mzuri wa maandiko kama hoja zetu tunazisimikia katika tafsiri potofu ya maandiko au kwa kuunga unga.
Hatuwezi kuvumilia upotoshaji wa maandiko, lazima tuyachukulie in context, na KikUbwa zaidi lazima TUMSIKILIZE KRISTO MWENYEWE KWANZA KABLA YA WATU WA KUUNGAUNGA (wazee wa kuconnects dots, wanafalsafa, wazee wa "mimi nadhani")
Nishamgundua, ni wale wa vibaragashia, kaanzisha mada imemzidi kimo. Kaanza kutapatapa.Wewe nafikiri kaanzishe mada yako maana naona hauelewi misingi ya hii dunia kuumbwa.