Melchizedek na utata unaomzunguka

Melchizedek na utata unaomzunguka

Waebrania 7:2-3

"Ambaye Ibrahimu alimgawia sehemu ya kumi ya vitu vyote; (tafsiri ya jina lake kwanza ni mfalme wa haki, tena, mfalme wa Salemu, maana yake, mfalme wa amani;

To whom also Abraham gave a tenth part of all; first being by interpretation King of righteousness, and after that also King of Salem, which is, King of peace;

hana baba, hana mama, hana wazazi, hana mwanzo wa siku zake, wala mwisho wa uhai wake, bali amefananishwa na Mwana wa Mungu);
huyo adumu kuhani milele.

Without father, without mother, without descent, having neither beginning of days, nor end of life; but made like unto the Son of God;
abideth a priest continually."


Zingatia Neno Abideth A priest Continually..
na hapo Ni Kitabh cha waebrania Agano Jipya
Kristo ndio kuhani wa milele
 
Melchizedek ni mwana fulani mpambanaji alipewa vipaji vingi na Mungu yani ni kama vile mimi wa kizazi Cha leo
 
Ukiangalia sifa za huyo Melkisedeck jinsi zilivyotajwa ni Mungu pekee mwenyesifa sifa hizo. Zaidi aliwekwa hapo katika kitabu cha mwanzo kupokea sadaka ya Ibrahimu tena kabla ya uduma ya kikuhani kuanza (huduma ya kikuhani ilianza miaka ya baadaye kwa kutumia damu ya wanyama kwa utaratibu na mafundisho ya Mungu). Sasa hapa ilihitajika huduma ya kikuhani na hapakuwepo wa kuifanya, hivyo, ilimlazimu Yesu mwenyewe akaifanye kwa kujifunua kwa mfano wa Melikisedeck. Hivyo melikisedek alikuwa Yesu mwenyewe
Nahisi hilo jina hatutakiwi kupewa wabongo, maana kuna jamaa kadhaa ninaowafahamu ni chenga ile mbaya
 
Back
Top Bottom