son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 695
- 1,817
Meli tatu zimeshambuliwa na jeshi la wanamaji wa IRGCC ikiwa mlango wa Hormuz ukiendelea kufungwa.
Meli iliyokuwa na bendera ya Panama ikitokea kwenye bandari ya Saudi Arabia na kuelekea Singapore imeshambuliwa na imepata uharibifu.
Meli ya pili ya kigiriki nayo imeshambuliwa siku ya leo baada ya kuvunja sheria ya usafiri uliowekwa na jeshi la IRGCC pia meli yenye bendera ya Liberia imeshambuliwa ikijaribu kupita mlango wa Hormuz baada ya kukiuka onyo waliopewa na wanamaji wa IRGCC.