Meli 3 zinazohudumu katika ziwa Nyasa zimeharibika, RC Homera achachamaa awataka TPA na Wizara waseme ukweli nini kinaendelea!

-Serikali (TPA) wapitie mkataba wa ujenzi wa meli hizo kati ya kampuni ya Songoro Marine na TPA/Serikali ili kujiridhisha Kama Mkandarasi(Songoro Marine Ltd) hana jukumu la kufanya matengenezo ya meli hizo (warranty) kwa muda wa miaka 3 au mmoja.

-Kama kipengele hicho hakipo kwenye mkataba, basi kuna mushkeli
-Wahusika wajitadhimini, kama wanatosha.

Ushauri
1). Rais wetu mpendwa chukua hatua mara moja kwa wahusika,watakuangushia jumba bovu.
2). Rais SSH tutengenezee meli,ili huduma ziendelee wakati unashughulika na wateule wako.
 
Hivi mwenye Songoro marine asili yake wapi?

Songoro Marine alifariki mwaka jana,pale Kyela kaacha watoto wa kutosha.
Mm alikuwa rafiki yangu sana,ni mzalendo aliye ipenda nchi yake.
Tenda zote za ujenzi wa hizi meli zilifuata mchakato halali
Apumzike kwa aman
 
Songoro Marine alifariki mwaka jana,pale Kyela kaacha watoto wa kutosha.
Mm alikuwa rafiki yangu sana,ni mzalendo aliye ipenda nchi yake.
Tenda zote za ujenzi wa hizi meli zilifuata mchakato halali
Apumzike kwa aman
sasa mbona za lake Nyasa zimebuma?
 
Jo tumwombe Mungu awabadili wanachukua chako mapema , ili tuweze fika tuendako. 🤔
 
Ukweli dikteta alikuwa na nafuu tatizo lake lilikuwa kwenye haki za binadamu lakini alikuwa mfuatiliaji, PM na bibi ushungi yaani sijui huwa wanafanya kazi gani. Hatari sn
 
Ukweli dikteta alikuwa na nafuu tatizo lake lilikuwa kwenye haki za binadamu lakini alikuwa mfuatiliaji, PM na bibi ushungi yaani sijui huwa wanafanya kazi gani. Hatari sn
Mtanikumbuka!
 
Fungu la matengenezo limeliwa hapo

Taifa la kimasikini na watu waizi sijui tutafika wapi?
Unatoa sadaka za wizi unategemea tutaendelea siku moja NEVER
 
Kuna watu hapo wanachota pesa ndefu kwa njia chafu siyo bure
 
Itakua ni hujuma za wahuni. Wanataka meli zitengenezwe na wazungu tu au wachina ili wapige dili. Pia kuna hujuma za kusudi dhidi ya kujenga uwezo wa kujitegemea nchi.

Hapo inahujumiwa songoro marines kwamba hawana uwezo na eti taifa bado haliwezi kujenga meli.

Yote hayoo lawama kwa mama kuacha kwa kusudi ku maintain momentum ya umagufuli. Anajionyesha kua darling wa mabeberu kazi kuombaomba mikopo isiyokua na tija na hela za bure 'grants' ili wahuni wapige panga.
 
Hizo meli toka enzi za jiwe zilishakwama mala nyingi tu majini!!!kwani huyo songoro marine ndio ameanza leo kutengeneza meli? Nenda ziwa victoria, hata bahari ya hindi ndio mtengenezaji mkubwa wa meli, sio kwamba hana uwezo ila kwenye meli hizi kuna shida sehemu.

Hiyo momentum ya jiwe, kitu gani cha maana ilisaidia kama upigaji ulikuwepo tu, na uonevu mkubwa!!japo kukopa sio mbaya lakini bora huyu anapokopa anawaambia wananchi kabisa wanajua, kuliko jiwe, anakopa halafu anafanya siri.
 
PANTONI MNASEMA MELI🙄🙄
ULISHAWAHI KUONA MELI IPO FLAT CHINI
 
Kwai umeambiwa tatizo ni nini au wewebuna mawazo yako tu?
Ndani ya mwezi mmoja moja ya meli hizo ilipata hitilafu na ikasimamishwa kufanya safari zake. Kwa sasa karibu zote zimesimama. Need we say more?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…