Chikuvi2021
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 491
- 551
-Serikali (TPA) wapitie mkataba wa ujenzi wa meli hizo kati ya kampuni ya Songoro Marine na TPA/Serikali ili kujiridhisha Kama Mkandarasi(Songoro Marine Ltd) hana jukumu la kufanya matengenezo ya meli hizo (warranty) kwa muda wa miaka 3 au mmoja.
-Kama kipengele hicho hakipo kwenye mkataba, basi kuna mushkeli
-Wahusika wajitadhimini, kama wanatosha.
Ushauri
1). Rais wetu mpendwa chukua hatua mara moja kwa wahusika,watakuangushia jumba bovu.
2). Rais SSH tutengenezee meli,ili huduma ziendelee wakati unashughulika na wateule wako.