Meli iliyotengenezwa Kenya kuanza kutumika

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Usahihisho kwa wale mnaobeza, itakua kingereza kinawakanganya. Hii ni meli ya wavuvi ya kwanza kutengenezwa na mafundi wa jua kali Mombasa, ila sio meli ya kwanza kutegenezwa Kenya.

==========

Mombasa's first locally made fishing boat sails out
By Philip Mwakio | Wednesday, Nov 16th 2016 at 21:44

Mv Mombasa 001 vessel.The ten tonnes vessel which is the first ever Kenyan fishing made its maiden trial sail from the Mombasa County Fisheries boat yard to the high seas of the Indian Ocean waters on Tuesday,015th November 2016.

It was built by Local Kenya's Artisans and funded by the Mombasa County Government to en power and improve the daily catch of Mombasa Fishermen who have been using dug out canoes to fish in deep seas. The vessel is fitted with a 235 horse power engine, sleeping area, cooking area , fish storage and has a fresh water tank.PHOTO BY MAARUFU MOHAMED/STANDARD.

The first ever locally assembled fishing vessel will be inaugurated on Thursday next week.

Built specifically for Mombasa fishermen through a joint venture between the county government and the Kenya Commercial Bank (KCB), MV Mombasa 001 sailed out for sea trials yesterday and cruised 20 nautical miles (35 kilometres) from the Port of Mombasa.

Mombasa's first locally made fishing boat sails out
 
Kigamboni kuna wavuvi hutengeneza meli za kuvulia lakini hawajawahi kugewa msaada wa materials.

Hongereni jirani zetu.
 
Hehehe vipi Bongo ya viwanda bado mnaagiza sindano?
Tulia mkuu hata mbuyu ulianza kama mchicha kwani hata hiyo mipango uliwahi sikia tunaanza sisi kama sisi sio urithi wa mwingereza nia ipo na tutatekeleza
 
Tulia mkuu hata mbuyu ulianza kama mchicha kwani hata hiyo mipango uliwahi sikia tunaanza sisi kama sisi sio urithi wa mwingereza nia ipo na tutatekeleza

Sasa mbona mnabeza mchicha wetu ambao tunategemea utakua mbuyu hivi karibuni. Mafundi wa jua kali wetu wametengeneza meli ya uvuvi kwa mara ya kwanza, wanafaa kupewa hongera na hamasa.
 
Hehehe vipi Bongo ya viwanda bado mnaagiza sindano?
Jamaa unatia aibu, huo si mtumwi kabisa, hiyo mitumbwi inatengenezwa daily, njoo Mbegani fisheries Institute uone mambo..
Ona wanaume wanavyofanya ..
Halafu hatupigi mayowe..
Halafu hizo meli kubwa za mizigo ni kwa ajili ya ziwa Nyasa tu dude..



brandytz.blogspot.is/2016/05/meli-tatu-zenye-thamani-ya-bilioni-24.html?m=1
 
Mtumbwi huo
Meli zinaumdwa ziwa Nyasa kule
Muda wowote zitaanza kazi
Kabisa
Tena zipo tatu



TPA yajenga meli mpya tatu ndani ya Ziwa Nyasa



Wamtumia mkandarasi wa ndani, mradi mzima kugharimu zaidi ya shilingi bilioni 25
MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA) wamethubutu na wameweza, wanaunda meli tatu ndani ya Ziwa Nyasa, wakimtumia mkandarasi wa ndani.


Imewezekana kwa sababu waliamua kutoishi katika fikra za kina Charles Njonjo, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Kenya, Mwafrika msomi wa sheria, aliyeamini kuwa Mwafrika, wakati ule, hakuwa na uwezo wa kurusha ndege.

Uundaji wa meli tatu unaendelea katika Bandari ya Itungi, iliyopo Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya. Hivi sasa, meli hizo zipo katika hatua mbalimbali za ujenzi ambapo kati ya hizo tatu, moja itakuwa ya abiria pamoja na mizigo na mbili zilizobaki zitakuwa ni kwa ajili ya kubeba mizigo tu.

Kwa mujibu wa Meneja wa Bandari ya Itungi, Percival Salama, kukamilika kwa ujenzi wa meli hizo kutatatua tatizo la usafiri na usafirishaji mizigo katika Ziwa Nyasa, tatizo ambalo limekuwepo kwa miongo kadhaa sasa.

β€œTutabadili sekta ya usafirishaji ndani ya Ziwa Nyasa, tumedhamiria, kwetu sisi tunasema hakuna lisilowezekana,” alisema Salama wakati wa mazungumzo yake na waandishi wa habari za Utalii na Uwekezaji (TAJATI) waliofika bandarini hapo kujionea wenyewe kazi za ujenzi wa meli hizo.

Uundaji meli hizo tatu unafanyika takribani miaka 17 tangu kutokea ajali mbaya ya boti iliyoua watu 36 wakiwemo watawa wanne.

Ajali hiyo ilitokea Juni 28, 1999 baada ya boti, inayoelezwa kutengenezwa kwa malighafi ya aluminum, kuzidiwa nguvu na mawimbi yaliyotokana na hali ya ziwa hilo kubadilika ghafla ikiwa ndani ya ziwa.

Ni miongoni mwa ajali zilizoacha kumbukumbu isiyofutika miongoni mwa mashuhuda wake na Kanisa Katoliki nchini.

Pamoja na ajali hiyo, wenyeji waishio jirani na ziwa hilo, pia wanayo kumbuku ya ajali nyingine iliyotokea nchini Malawi,<!-- No story found -->
/idCABRE85K0K820120621, Juni mwaka 2012 ikielezwa kuua watu takribani 47, wote wakiaminika kuwa wahamiaji haramu kutoka nchini Ethiopia.

Ajali ya karibuni kabisa ni ile iliyotokea May 21, mwaka huu, kama ilivyoelezwa na Meneja Bandari ya Kyela, Salama, ilihusisha boti iliyokuwa na watu kumi na moja, kati yao wafanyakazi wa boti watano na abiria sita.

Abiria hao walikuwa wakisafirisha mizigo ya wafanyabiashara toka mkoani Mbeya kwenda nchini Malawi, na tangu siku hiyo ni miili ya marehemu wawili tu, wote wanawake iliyopatikana hadi sasa huku watu tisa waliosalia, boti na mizigo wakiwa bado kupatikana.

Hizi ni sehemu tu ya ajali zinazotokea ziwani humo kutokana na matumizi ya vyombo duni vya usafiri. Usafiri usio na uhakika na usio salama limekuwa tatizo la miaka mingi kwa wananchi waishio Ziwa Nyasa, hususani katika milima ya Livingstone, tatizo ambalo huelezwa kila kiongozi aliyefika kwenye maeneo hayo.

Hatua ya TPA kuunda meli hizo tatu za abiria na mizigo, inaelezwa kuwa suluhisho la kudumu kwa tatizo la usafiri ziwani humo na kutegemewa kusisimua kwa kiwango kikubwa uchumi wa Wilaya ya Kyela na ukanda wa Kusini. Zaidi ya uchumi, meli hizo zinategemewa kupunguza, kwa kiwango kikubwa, matukio ya ajali ziwani humo.

Ujenzi wa meli Ziwa Nyasa:

Mradi huo wa uundaji meli katika Ziwa Nyasa utagharimu takribani shilingi bilioni 25 ambapo meli ya kwanza inatarajiwa kukamilika mwezi Agosti na ya pili Oktoba, mwaka huu.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Songoro Marine Boat Yard yenye kujenga meli hizo, Saleh Songoro alithibitisha meli ya mwisho ambayo ni ya abiria kukamilika ifikapo mwezi Februari, mwakani.

Mkurugenzi Mtendaji wa Songoro Marine, waundaji wa meli hizo, Saleh Songoro akitoa maelezo kwa wanahabari kuhusu mradi huo wa undaji meli Ziwa Nyasa.

Mbali ya mkandarasi kuwa mzawa, hata wafanyakazi wake ni wazawa, akiajiri wageni wachache sana kwa ajili ya kuchangia uzoefu na teknolojia.

Songoro anasema kabla ya kuanza kazi ya ujenzi wa meli hizo, walianza kwa kuwapatia mafunzo vijana walioajiriwa kwa ajili ya kazi hiyo, hatua iliyosababisha kuchelewa kuanza kazi ya ujenzi wa meli.

Taarifa ya ujenzi wa meli hizo kama ilivyotolewa na Mkurugenzi huy
 

Usituletee mapicha ya vyuma mnavyofanya assembling pembeni mwa ziwa. Mtengeneze meli na isafiri sio kama ile aibu ya MV Bagamoyo.
Pili soma taarifa uelewe vizuri, hii sio meli ya kwanza Kenya, japo ni ya kwanza ya uvuvi Mombasa na iliyotengenezwa na mafundi wa jua kali.
Mbona vyombo vya ukweli tumetengeneza awali, cheki hii video
 
MK254 futa hii post utakumbuka ndugu yangu. Hizo za Kenya mbona kama za karatasi?

 
Kuna vitu vingine soi hoja ya kutafutia sifa kwa sasa!!
Kila nchi imeamka
Hakuna alie nyuma
Tatizo la wakenya kila kitu wao sifa hahaha
Jambo la kawaida karukia mtandaoni !!!!!
 
Watz hamjiwezi jamani,kuponda tuuu! mnachoweza ni kujenga vyoo elfu moja toka mwanza hadi dar? Hivi huo mchakato umefikia wapi maana hata vituo vya mwendokasi mmenyea havifai tena!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…