Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Hhhhhhhhh! Kusema tu, haihusikani na Uzi lakini kuna mwaka ikatangazwa kwamba Watahiniwa asilimia 80 walifeli mtihani Tz, lilikuwa ni jambo la kunishangaza sana mimi! Kumbe hii kukurupuka kisa na maana!!?Wabongo bana, yaani huwa mnakimbilia kujibu nyuzi bila kusoma na ndio maana huwa mnaanguka mitihani na kujazana division zero watupu.