Meli iliyotengenezwa Kenya kuanza kutumika

Meli iliyotengenezwa Kenya kuanza kutumika

Wabongo bana, yaani huwa mnakimbilia kujibu nyuzi bila kusoma na ndio maana huwa mnaanguka mitihani na kujazana division zero watupu.
Hhhhhhhhh! Kusema tu, haihusikani na Uzi lakini kuna mwaka ikatangazwa kwamba Watahiniwa asilimia 80 walifeli mtihani Tz, lilikuwa ni jambo la kunishangaza sana mimi! Kumbe hii kukurupuka kisa na maana!!?
 
Sasa. nyingine ikawa one in four Danganyikans is mad....I swear this country is a good one for a Phd thesis.
 
Tim Choice, kufanyiwa matengenezo si kutengeneza meli! Meli ilikuja huko kwasababu ya chelezo iliyopo Mombasa! Songomarine hana mpinzani East Africa.
 
Hhhhhhhhh! Kusema tu, haihusikani na Uzi lakini kuna mwaka ikatangazwa kwamba Watahiniwa asilimia 80 walifeli mtihani Tz, lilikuwa ni jambo la kunishangaza sana mimi! Kumbe hii kukurupuka kisa na maana!!?

Huwa wanadunda balaa.
15055736_10154742228209339_13137053941530379_n-jpg.436754
 
BBC Imeongezea, hata hivyo wanafunzi hufanya mtihani karibu million moja, kumaanisha 170% of 5,101 ni 8,672 ambayo ni 0.9% (9/1000) of the learners usione kama ni number kubwa. Na haimaanishi kwamba walioiba hawajui, ni competition inawazuzua, wakija kule Bongo wanapata namba moja hadi wamwisho ndo upate mmoja wenu!!!!
Kha!! hizo takwimu za wapi. Wafanya mtihani kidato cha nne karibia 1,000,000 unamaanisha 999,999 sio?
Hebu nipe hizo proof kama sio uongo.
 
BBC Imeongezea, hata hivyo wanafunzi hufanya mtihani karibu million moja, kumaanisha 170% of 5,101 ni 8,672 ambayo ni 0.9% (9/1000) of the learners usione kama ni number kubwa. Na haimaanishi kwamba walioiba hawajui, ni competition inawazuzua, wakija kule Bongo wanapata namba moja hadi wamwisho ndo upate mmoja wenu!!!!
Don't shoot the messenger, BBC ndio walioweka. Halafu wamesema ni wanafunzi wa sekondari tuu sio wote so, nina imani na namba za BBC maana sidhani kama Kenya ina wanafunzi milioni moja wanao maliza elimu ya sekondari kila mwaka.
 
Wakenya bana ndugu zangu hawa wananipaga mafleva hatari sasa ukiwakuta wanaichambua Tanzania in different aspects like meanwhile education sasa utajikuta unauliza na hii ni kenya yao au wamepakaziwa

Teacher Absenteeism in Village Schools

20120514-School%20in%20a%20Maasai%20village%20in%20Kenya.jpg

School in a Maasai village in Kenya One of the biggest problems with education and health care in the developing world, according to the World Bank, is not a lack of money but “getting teachers and doctors to report to work." When Harvard and World Bank
 
Get it at it's best reality
Are laptops more important than desks in Kenya's schools?
By Emmanuel IgunzaBBC Africa, Nairobi
Share
_88544034_20160302111911.jpg

In theory, six-year-old Kenyan pupil Kizito Wafula could soon be using a government-funded laptop, but his school in the west of the country has no desks or chairs - and, crucially, no electricity to power it.

As Kenya's government tries to fulfil its 2013 election pledge to give first year primary school students access to laptops, Kizito will not be able to benefit from the ambitious $600m (£425m) Digischool scheme.

Instead he will continue to use scraps of paper to write down his notes, keeping them bundled in a small black plastic bag.

"He doesn't have proper books so he borrows paper plucked from other pupils books," says Florence Misiko, the head teacher at St Jude Nabuyeywe in Bungoma, a poor farming area.

Kizito and his six siblings live with their grandmother, who cannot afford to buy exercise books.
 
Yep, anaitwa masoud kipanya wa vikaragosi[emoji3] [emoji191] [emoji90]
Kenya tutawapa msaada wa madawati sababu sisi yametuzidi mpaka hatuna pa kuyaweka kwa kweli mnatia huruma ndugu zetu mna hali ngumu haswa

I am at a public school in Kenya. In a tiny room sit 200 first graders, cross-legged on the floor. Shouting above the noise from the classroom next door penetrating the thin walls of the classroom, the teacher, Teresa, tries to teach the children to read, explaining the rules of pluralization. She patiently repeats and explains, but keeping 200 seven-year-olds engaged and learning is nearly impossible, and the stark reality is that most of these students will drop out before high school and many will never learn to read, as is shown by the 50% illiteracy rate of the community surrounding the school. Teresa finishes the lesson and walks out the door, a stream of screaming children flowing out around her and walks across the red dirt road. She walks through a gate labeled “Wema Childen’s Centre” in hand-painted letters, and finally sits down, exhausted.

TSF1.jpg

Teresa in the public school classroom.
 
Official statistics zinasema kenya wanakaa wanafunzi 200 kwenye chumba kimoja cha darasa
 
Back
Top Bottom