Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Hahaa.. tunawakujua nyie huwa hamjui tofauti kati ya manufacture na assembly...anyway vipi naskia ndani ya mwaka mmoja mmeanzisha viwanda zaidi ya 1800!! Ebu mwageni hata picha humu tuoshe macho[emoji3] [emoji3]Tunajenga meli kubwa za Mizigo ziwa Nyasa.
What do u say..!!
Huko wanaunda juakali mnapiga mayowe na tambo za kike huku vinaundwa mpaka na jeshi lakini watu tumenyamaza. Acheni mambo ya kike wakenya leteni habari zenu kama informing mode sio kama kutambia au kujishebedua kama mmepigia hatua kubwa kuwazidi wengine kumbe ni choka mbaya tu.Sasa mbona mnabeza mchicha wetu ambao tunategemea utakua mbuyu hivi karibuni. Mafundi wa jua kali wetu wametengeneza meli ya uvuvi kwa mara ya kwanza, wanafaa kupewa hongera na hamasa.
Mjomba, waache sisi kimya, tumeshaaza mpaka kutengeneza vifaru vyetu, wao wanapiga mayowe na boti za karatasi.Huko wanaunda juakali mnapiga mayowe na tambo za kike huku vinaundwa mpaka na jeshi lakini watu tumenyamaza. Acheni mambo ya kike wakenya leteni habari zenu kama informing mode sio kama kutambia au kujishebedua kama mmepigia hatua kubwa kuwazidi wengine kumbe ni choka mbaya tu.
MV.Kigamboni kilijengwa mwaka 2009 na
kwa taratibu za vivuko vinavyofanya safari zake katika maji ya chumvi hutakiwa kufanyiwa ukarabati mkubwa kila baada ya miaka mitano.
Hata hivyo, Dkt.Magufuli amewahakikishai wananchi wa Kigamboni kuwa mwaka wa fedha 2014/15 Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 3.7 kwa ajili ya kununua kivuko kipya kitakachofanya safari zake maeneo ya Kigamboni.
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wa kwanza kulia akipewa maelezo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe kuhusu ujenzi wa kivuko cha Msanga Mkuu(MV Mtwara) kilicho katika hatua za mwisho za matengenezo chini ya Kampuni ya Sangoro Marine Transpot Limited.
Luteni Kanali Abel Gwanafyo akitoa maelezo kwa Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu ukarabati wa Kivuko cha MV. Kigamboni kinachofanyiwa ukarabati na Jeshi la Wananchi wa Tanzania kupitia kikosi cha Wanamaji (Nav) Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika kivuko cha MV. Kigamboni mara baada ya Ukaguzi.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Wakati Kenya wanatengeneza mtumbwi mkubwa wa kubeba tani kumi, miaka miwili mitatu iliyopita, Tanzania ilitengeneza Mv Magogoni inayobeba zaidi ya tani 150!
Teh teh teh! Eti mtumbwi mkubwa..[emoji2] [emoji2] dah nmecheka mpaka basiMtumbwi mkubwa
CC:Wakati Kenya wanatengeneza mtumbwi mkubwa wa kubeba tani kumi, miaka miwili mitatu iliyopita, Tanzania ilitengeneza Mv Magogoni inayobeba zaidi ya tani 150!
Sifa juu ya mkenya ni majisifuYani wakenya kwa misifa mnaongoza duniani.Yani huo mtumbwi mkubwa ndio wakuja kutamba nao kwa wanaume.Uzuri Tz tunaunda vitu vyetu vya maana kimya kimya