Meli kubwa πŸ›³ Africa Mashariki na kati 🌍 only in πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Unaishi Kanda ya ziwa au unabwabwaja tu? Ulishawahi kuishi kwenye visiwa vya ziwa Victoria na uonje shubiri ya usafiri wa Dagaa, Samaki, bidhaa na watu?
 
Wivu Wakike huo
 
Bravo my President JPM
Bravo my beloved country TANZANIA
 
πŸ˜€
kumbe bado iko kwenye makaratasi....
 

vipi maji nairobi yapo maana kulikuwa na kiu jijini accoriding to the citizen kenya...vipi petroli naskia lita ni sh 130 3000tsh ..hali ni mbaya kenya kuna asiyejua ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…