Meli kubwa ya kivita ya Marekani yatia nanga Mombasa kuimarisha ulinzi katika Pwani ya Mashariki



Alshabab Wabaya!!!, His excellence president Freedom kaamua kuomba msaada wa manowari ya kijeshi kutoka kwa Joe Biden kuwatishia 'nyau' Alshabab.🤣🤣
 
Hiyo meli inasadia Nini!Kama Al shabab wanawageuza kadri wapendavyo.Ethiopia wamewaangushia ndege na kuwatunisha misuli mkaufyata.Uganda wamewanyang"nya kisiwa ziwani Victoria.mtaishia kutalii uwanja wa Vita watupu


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kipaumbele chenu sasa ni kipi? Kama mna marafiki wemye hunguvu hizo na bado alshabab wanawachinja daily na kumega kabisa eneo la kenya na kukusanya kodi na kubomoa minara ya safaricom bila kuguswa, hiki unachojitapa kina faida gani?
 
Tanzania imawafyeka isis kule Mozambique mpaka Rais wao kafunga safari kuja kumshukuru Magufuli bila msaada wowote kutoka nje

Ninyi mna majeshi ya Marekani, Uingereza sijui amison na misaada kibao ya kimataifa lakini ndio kwaaanza alshabab wametwaa counties mbili za Kenya na saivi wamezindua kitengo chao cha ukusanyaji mapato

Ajabu unakuja kujitapa eti kuna wanaume wamekuja kuload in supplies kwenye meli yao nchini Kenya, unasikitisha mzee
 
Kwa maoni yangu:
Sisi Kama Taifa urafiki wa kujipendekeza kupita kiasi kwa wamarekani hautufai kabisa maana hawa jamaa ni wanyanyasaji na wategaji wa ubwenyenye.

Nafikiri tukomae kivyetu na kutumia matatizo tuliyonayo ili kufanikiwa na sio kutegemea mataifa Kama haya yenye kulenga faida kubwa kwa upande wao tu.

Hata hivyo, sisi tunawajibu wa kuimarisha mahusiano ya Kidiplomasia lakini sio kwa mataifa yenye kutupangia Nini Cha kufanya kama nchi huru hata Kama Masikini. Kupanga Ni kuchagua Kenya walichagua njia yao tofauti na sisi, kwa kuwa kila Taifa Lina falsafa tofauti Kidiplomasia, Kisiasa, na Kiuchumi.
 
Kwa thread yako inaonyesha wazi jeshi lenu ni dhaifu sanasana mnategemea ulinzi kutoka marekani ndio maana umetoa njee meno yote kushangilia kuja meli ya marekani
 
Kwa thread yako inaonyesha wazi jeshi lenu ni dhaifu sanasana mnategemea ulinzi kutoka marekani ndio maana umetoa njee meno yote kushangilia kuja meli ya marekani

Nasema hivi...thubutu kujifanya kama unajikuna vile.
 
Kipaumbele chenu sasa ni kipi? Kama mna marafiki wemye hunguvu hizo na bado alshabab wanawachinja daily na kumega kabisa eneo la kenya na kukusanya kodi na kubomoa minara ya safaricom bila kuguswa, hiki unachojitapa kina faida gani?

Napata raha mnavyopiga makelele, na bado hamjakoma...lipo haliondoki hivi karibuni, mnaalikwa mje mshangae shangae kidogo.
Halafu kwa mlivyo wanafiki, nakumbuka kuna kipindi meli ya kivita ya Wachina ilitia nanga kwenye bandari yenu, aisei humu hakukukalika kwa makelele na misifa, bure sana nyie watu
 

Kufurahia kitu kama hiki ni ujuha.
 
Ujinga ni mzigo kwa kweli . Léo nimeelewa kwa nini nyangau ana tatizo na kila jirani yake..
 

Sisi wanakuja kwa ajili ya mafunzo, na si kuja kutulinda kama nyie wanavyofanya. Na tumegundua kuwa wanataka kuwatumia kukwiba mafuta ya Somalia.
 
Mnaweza nini sasa kama sio kukimbilia kwa mabwana zenu. Wasomali wamelamba waganda wamewatahiri bila gadhi. Mnachokiweza kenya ni utapel na mdomo tu tena wakujipendekeza wa mabwana zenu. Na bado

Sasa mbona unaniquote mara kumi kama sio kuweweseka, na litaendelea kugeuza geuza humu haliondoki hivi karibuni......hehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…