Meli kubwa ya kivita ya Marekani yatia nanga Mombasa kuimarisha ulinzi katika Pwani ya Mashariki

Uwezo wa wakunya kufikiri ndio umeishia hapo linapokuja swala la mmarekani au muingereza,yan hapo MK254 yuko tayari hata amtoe mkewe kwa nahodha wa hiyo meli ili tu apate kujisifia mkewe kishapigwa mkuyenge na mmarekani!
 
Uwezo wa wakunya kufikiri ndio imefikia hapo,yan hapo MK254 yuko tayari hata amtoe mkewe kwa nahodha wa hiyo meli ili tu apate kujisifia mkewe kishapigwa mkuyenge na mmarekani!

Hili hamuwezi kulipokea nyie watu wa ze ze ze, uwezo huo hamna....hehehehe
 
Njoo ww tupishane misuli. Usije na bwana zako uone

Hili lipo kwa ajili ya mzuka wa kimataifa baina ya Marekani na Urusi, nyie huko sidhani hata wanajua uwepo wenu, wakiulizwa wapi Tanzania wanasema ni mkoa kusini mwa Kenya....hadi raha aisei.
 
Sie tunawapokea mamia ya wamarekani weusi wanaohamia,ingiw youtube ujionee

Duh! Nini kimewaingia hao. mbona nawahurumia, ila uzuri kwenu huko Kingereza ni mtaji, ukijua kunyoosha maelezo kwa Kingereza unapata fursa nyingi sana maana mpo mnakitegemea kwenye shughuli nyingi ila hamkijui. Sema hao kwa lafudhi yao sijui kama mtaelewa hata sentensi moja wakianza kutiririka.
 
The ship bears the namesake of the only surviving WWII USMC Medal of Honor Recipient from the Battle of Iwo Jima, then Corporal Hershel “Woody” Williams, whose actions while assigned to the 21st Marines, 3rd Marine Division on February 23, 1945 earned him the nations highest honor in October 1945. The Battle of Iwo Jima raged from February through March 1945, and was one of bloodiest amphibious operations during WWII resulting in 27 Medal of Honor Recipients many of whom were awarded posthumously. The panoramic image was captured from the fantail of the decommissioned Iowa-Class Battleship USS Wisconsin (BB-64), which is moored permanently next to the Naval Museum as a museum ship.

USNS Hershel "Woody" Williams.


On March 6th, 2020, CWO-4 (ret.) Williams visited with Sailors and crew aboard USNS Hershel "Woody" Williams. He spoke to them briefly before touring the ship with family and friends. While the crew had many gifts for Williams, he had one himself for the crew...
Source : tactical mode channel
 

Shukrani, ila umeadimika sana kiongozi, vipi kuna sehemu nimesoma mumeshauriwa muache kutegemea matamko na muanze kuchukua tahadhari.
 

bagamoyo you just froze wana mgambo cause f...king cunts cant read english
 
Hili lipo kwa ajili ya mzuka wa kimataifa baina ya Marekani na Urusi, nyie huko sidhani hata wanajua uwepo wenu, wakiulizwa wapi Tanzania wanasema ni mkoa kusini mwa Kenya....hadi raha aisei.

They don't want none of this smoke

Turkey flies a couple of their drones on behalf of Somalia, we go get the biggest meanest dog in the yard for a quick sail through.

As drake said, "Jimi Hendrix with the solo Those are strings that you can’t pull"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…