ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Meli iliyotia nanga Ina urefu wa zaidi ya mita 300 achana na hizo za mita 200 plus.Habari imfikie ChoiceVariable
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meli iliyotia nanga Ina urefu wa zaidi ya mita 300 achana na hizo za mita 200 plus.Habari imfikie ChoiceVariable
Inabeba kontena ngapi?Meli iliyotia nanga Ina urefu wa zaidi ya mita 300 achana na hizo za mita 200 plus.
Mbona wameandika mita 294? Sasa hiyo zaidi ya 300 umeitoa wapi?Meli iliyotia nanga Ina urefu wa zaidi ya mita 300 achana na hizo za mita 200 plus.
Wanajua hamkumbuki ya nyuma hukoHao jamaa sijui wanatuona hamnazo.jambo limetokea kitambo tu wanadai et ya sasa ni record!