ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 66,537 Reaction score 75,687 Jun 22, 2024 #21 Yoda said: Habari imfikie ChoiceVariable Click to expand... Meli iliyotia nanga Ina urefu wa zaidi ya mita 300 achana na hizo za mita 200 plus.
Yoda said: Habari imfikie ChoiceVariable Click to expand... Meli iliyotia nanga Ina urefu wa zaidi ya mita 300 achana na hizo za mita 200 plus.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Jun 22, 2024 #22 ChoiceVariable said: Meli iliyotia nanga Ina urefu wa zaidi ya mita 300 achana na hizo za mita 200 plus. Click to expand... Inabeba kontena ngapi?
ChoiceVariable said: Meli iliyotia nanga Ina urefu wa zaidi ya mita 300 achana na hizo za mita 200 plus. Click to expand... Inabeba kontena ngapi?
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 13,942 Reaction score 15,371 Jun 23, 2024 #23 ChoiceVariable said: Meli iliyotia nanga Ina urefu wa zaidi ya mita 300 achana na hizo za mita 200 plus. Click to expand... Mbona wameandika mita 294? Sasa hiyo zaidi ya 300 umeitoa wapi?
ChoiceVariable said: Meli iliyotia nanga Ina urefu wa zaidi ya mita 300 achana na hizo za mita 200 plus. Click to expand... Mbona wameandika mita 294? Sasa hiyo zaidi ya 300 umeitoa wapi?
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 8,118 Reaction score 13,547 Jun 23, 2024 #24 Hao jamaa sijui wanatuona hamnazo.jambo limetokea kitambo tu wanadai et ya sasa ni record!
Kingfish23 JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 490 Reaction score 485 Jun 23, 2024 #25 Karne said: Hao jamaa sijui wanatuona hamnazo.jambo limetokea kitambo tu wanadai et ya sasa ni record! Click to expand... Wanajua hamkumbuki ya nyuma huko
Karne said: Hao jamaa sijui wanatuona hamnazo.jambo limetokea kitambo tu wanadai et ya sasa ni record! Click to expand... Wanajua hamkumbuki ya nyuma huko