ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Naombeni kujuzwa hili jambo kuhusu meli kupeperusha bendeea ya nchi nyingine kwa mfano meli inafanya safari bahari ya hindi lakini unakuta ina peperusha bendera ya venezuela.hii imekaaje je ile bendera ni nchi iliyotengenezwa au mmiliki ni wa huko..na hata ikiwa tuseme imesajiliwa huko inakuaje ikafanya safari bahari nyingine kabisa..naona meli bendera za south korea lakini ukifatilia hakuna uhusiano kabisa mmiliki sio wa huko na haifanyi safari za huko.