Meli kwake baharin,Tren yake reli.

Stevery2

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2012
Posts
397
Reaction score
46
Jamaa zangu naomben mawazo yenu,mchumba wangu tumeachana,tulikaa miaka2 bila kushirik tendo la ndoa,ila nilivyoondoka kwenda Iringa,akabadilika sana,akawa hapigi sim,nilipo muuliza akanijibu,nilienda nje ya nchi kwa baba,nikamuuliza hata e-mail yangu hukuwa nayo?nikaamua kuacha kama yalivyo,kweli alianza kunitoka moyon,japo sikumwambia,juz nilimwambia simpend kama zaman,najitahid tu,akaanza kunitolea kashfa,na kunikatia sm,kupiga pia akawa ananikata dry,na kusema me nayeye ndio mwisho,je,kunanin hapo,coz me niko Iringa,ila wik ijayo narudi Dar,nikurud nikaongee naye uso kwa uso au nitupilie mbal?
 
Raha zake unazijua weye, Kama unaonakuna Mabadiliko na wewe unahisi hutompata mwengine Kama yeye
Haya endelea nae mpaka akutoe roho laa wako wakumshinda yeye mbona huna hata haja yakusubiri urejee hujamuoa Kama mpaka umpe Talaka na nauli yakurudi kwao sasa unasubiri nini hawara Hana Talaka mtumie
SMS moja kua umeshatosheka na yeye unamuachia Huyo ajae wewe basi tena...
 
Umeshamwambia humpendi kama zamani, ulitegemea nini?

Hebu acha kupanda bangi afu unataka uote mchicha basi.
 
una miaka 3,5,7. Kama umtu mzima usinge uliza swali hili ushapata jibu unataka jibu gani tena. Au ndio unataka mchicha uwe maharage
 
wanawake mbona wengi nenda kwenye macasino.sokoni,stand lazima utaopoa mmoja wacha kulialia.miaka miwili aujagonga we ulizani upo na dadako kakutana na waze wa kupga katerero
 
Another childish thread!! am out on this one too!!
 
Yaliyosemwa yamesikika
yaliyoandikwa yametimia.
Tafuta njia nyingine , usiongeze machungu ya moyo.
Penzi lilisha fifia na sasa karibu kufa kabisa. chambua vema.
 
Tasnia ya mapenzi yazidi kuwaumiza wasanii wake,

Naskia kunachuo pale morogoro, wanatoa coz ya mapenzi, kama vp jitupie maeneo yale ukapate ilmu.

Kama vp tukutane Kwenye bustani za posta hapo(GARDEN) nikupe trick zaidi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…