Stevery2
JF-Expert Member
- Mar 3, 2012
- 397
- 46
Jamaa zangu naomben mawazo yenu,mchumba wangu tumeachana,tulikaa miaka2 bila kushirik tendo la ndoa,ila nilivyoondoka kwenda Iringa,akabadilika sana,akawa hapigi sim,nilipo muuliza akanijibu,nilienda nje ya nchi kwa baba,nikamuuliza hata e-mail yangu hukuwa nayo?nikaamua kuacha kama yalivyo,kweli alianza kunitoka moyon,japo sikumwambia,juz nilimwambia simpend kama zaman,najitahid tu,akaanza kunitolea kashfa,na kunikatia sm,kupiga pia akawa ananikata dry,na kusema me nayeye ndio mwisho,je,kunanin hapo,coz me niko Iringa,ila wik ijayo narudi Dar,nikurud nikaongee naye uso kwa uso au nitupilie mbal?