Meli mbili zazamishwa na Houthi katika vita vya kuitetea Palestina

Meli mbili zazamishwa na Houthi katika vita vya kuitetea Palestina

Huu ugomvi kuna watu tunaufurahia ila unatuathiri kwenye gharama za maisha, ukianzia na kupanda kwa gharama za kusafirisha kontena!

Mimi binafsi sijui kati ya paka mweusi na paka mweupe nani mbaya ila ntakimbia na paka aliyekimbia na samaki yangu...
Ndio... Siwezi kula ugali mchuzi na harufu ya samaki halafu namuona samaki yulee anaondoka.

Sijui Marekani anatokaje kwenye hili sakata!
Ni au atoke kwa aibu.. which will not happen au aonyeshe nguvu tupate ww3..

Of which USA could be defeated!
 
Kwanza nakushauri usishindane na paka aliyekimbia na kitoweo chako mwishowe ukajisahau ukamfuata mpaka chumbani.Utajuta.
Upande wa Marekani na Israel wanazama pamoja.Marekani ingetamani vita vya Ukraine vimalizike haraka sawa na vita vya Gaza na hana njia kufikia malengo hayo.
Vita vyote viwili vimekuwa kaa la moto kwao.Huku Netanyahu hasikii nasaha na kule Ukraine Marekani haitaki kuinua mikono juu kukubali kuwa muda umemalizika wa kumuunga mkono Zelensky.
 
😡😡😡utasubiri sana hakuna mjinga wa kuuwa wananchi wake mwenyewe
Unafikiri hayo mabomu ni maandazi au ngano kuwa watayatunza tu, siku ikitokea njaa wayagawe watu wale?
Elewa yametengenezwa kwa ajili ya binadam na ipo siku yatatumika
 
Unafikiri hayo mabomu ni maandazi au ngano kuwa watayatunza tu, siku ikitokea njaa wayagawe watu wale?
Elewa yametengenezwa kwa ajili ya binadam na ipo siku yatatumika
Mkuu nakwambia hii dunia inaongozwa na matajiri wakubwa wenye biashara hakuna mfanya biashara anaweza take risk as kishamba hivyo kama silaha za nyuklia zikitumika hii dunia itaanza moja mana hakuna atakaebaki salama fikiria mzigo wote ulioko America na UK yote utumike uliopo china Japan Korea Russia India ni sehemu gani itakuwa haijapigwa?
 
Back
Top Bottom