Kwanza nakushauri usishindane na paka aliyekimbia na kitoweo chako mwishowe ukajisahau ukamfuata mpaka chumbani.Utajuta.Huu ugomvi kuna watu tunaufurahia ila unatuathiri kwenye gharama za maisha, ukianzia na kupanda kwa gharama za kusafirisha kontena!
Mimi binafsi sijui kati ya paka mweusi na paka mweupe nani mbaya ila ntakimbia na paka aliyekimbia na samaki yangu...
Ndio... Siwezi kula ugali mchuzi na harufu ya samaki halafu namuona samaki yulee anaondoka.
Sijui Marekani anatokaje kwenye hili sakata!
Ni au atoke kwa aibu.. which will not happen au aonyeshe nguvu tupate ww3..
Of which USA could be defeated!
Unafikiri hayo mabomu ni maandazi au ngano kuwa watayatunza tu, siku ikitokea njaa wayagawe watu wale?😡😡😡utasubiri sana hakuna mjinga wa kuuwa wananchi wake mwenyewe
Naunga mkono hojaMashabiki wa Putin na Hamas hamjawahi kuwaga na akili.
Mkuu nakwambia hii dunia inaongozwa na matajiri wakubwa wenye biashara hakuna mfanya biashara anaweza take risk as kishamba hivyo kama silaha za nyuklia zikitumika hii dunia itaanza moja mana hakuna atakaebaki salama fikiria mzigo wote ulioko America na UK yote utumike uliopo china Japan Korea Russia India ni sehemu gani itakuwa haijapigwa?Unafikiri hayo mabomu ni maandazi au ngano kuwa watayatunza tu, siku ikitokea njaa wayagawe watu wale?
Elewa yametengenezwa kwa ajili ya binadam na ipo siku yatatumika