Kuna majamaa hapa watakwambia hivyo ni VIMIUNDOMBINU. Lakini juzi walipotaka kwenda visiwani huko walivitaka hivyo vimiundombinu viwasafirishe. Kwanini hasingeogerea tuuu ilikukwepa kutumia hivyo vimiundombinu?CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE KUPATA ajali. LEO IMEKAMILIKA kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300.
Tatizo la usafiri Ukerewe kuwa historia.
Kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020.
Mnacho kimavi. Hata mkizindua tarehe 28, haisaidii. Meli na flyover zitakupigieni kura.Kuna majamaa hapa watakwambia hivyo ni VIMIUNDOMBINU. Lakini juzi walipotaka kwenda visiwani huko walivitaka hivyo vimiundombinu viwasafirishe. Kwanini hasingeogerea tuuu ilikukwepa kutumia hivyo vimiundombinu?
CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE KUPATA ajali. LEO IMEKAMILIKA kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300....
Nayo Haina chama?CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE KUPATA ajali. LEO IMEKAMILIKA kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300...
Watu mnakeraaaLissu atazisimamia zote hakuna kilichoharibika
Siku Lissu akienda tena ukerewe Meli itaharibika, akiondoka tu inapona, ccm bana, huwa wananifurahisha sana, wana akili za kitotoooCCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE KUPATA ajali. LEO IMEKAMILIKA kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300.
Tatizo la usafiri Ukerewe kuwa historia.
Kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020.
CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE KUPATA ajali. LEO IMEKAMILIKA kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300.
Tatizo la usafiri Ukerewe kuwa historia.
Kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020.
Hongera kwakutekeleza ahadi yenu ingawa mliwatoa ndugu zetu kafara kwenye Mv nyerere,ila nawakumbusha kuwa sikuizi hatudanganywi,hata mngetuletea tarehe28 Oct bapo tutawaazbu kwakutenda kiunafiki.CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE KUPATA ajali. LEO IMEKAMILIKA kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300...
Aendelee tu, kura zetu kwa Tundu Lissu.Kama CCM ilivyiahidi wana Ukerewe imetekeleza ahadi
Tarehe 28. Tunawagaragaza asubuhii nyinyi na hao mabarozi wenu wa beberu. Ndo mtatuambia kama flyover na meli kama hazipigi kura.Mnacho kimavi. Hata mkizindua tarehe 28, haisaidii. Meli na flyover zitakupigieni kura.