Meli vita za USA zashambulia na Houthi wa Yemen

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
20241112_225101.jpg
20241112_225038.jpg
Uongozi wa Yemeni wa Houthi umeishambulia ndege meli vita ya Abraham Lincoln yenye urefu wa zaidi ya viwanja vitatu vya mpira na upana wa mita 70+
Length1,092 ft (332.8 m) overall, 1,040 ft (317.0 m) at the waterline
Beam252 ft (77 m)
Draught41 ft
Displacement104,112 long tons (105,783 t) at full load
Flight deck width257 ft 5.5 in (78.5 m)
Height206 ft 6 in (62.9 m)
pamoja na meli vita nyingine 2 kwenye operation iliyochukua masaa 8.

Hizo mbona ni taarifa za upande mmoja?
Tunataka source yo yote ya hàbari isiyoegemea upande wo wote!
 
View attachment 3150788View attachment 3150789Uongozi wa Yemeni wa Houthi umeishambulia ndege meli vita ya Abraham Lincoln yenye urefu wa zaidi ya viwanja vitatu vya mpira na upana wa mita 70+
Length1,092 ft (332.8 m) overall, 1,040 ft (317.0 m) at the waterline
Beam252 ft (77 m)
Draught41 ft
Displacement104,112 long tons (105,783 t) at full load
Flight deck width257 ft 5.5 in (78.5 m)
Height206 ft 6 in (62.9 m)
pamoja na meli vita nyingine 2 kwenye operation iliyochukua masaa 8.
View attachment 3150786
View attachment 3150787
Kwahiyo hiyo manuari imezama?
 
Naomba kuuliza, kabla ya shambulio la Septemba 11, Middle East palikuwa tulivu...??? Kuna kitu nataka kukielewa
 
View attachment 3150788View attachment 3150789Uongozi wa Yemeni wa Houthi umeishambulia ndege meli vita ya Abraham Lincoln yenye urefu wa zaidi ya viwanja vitatu vya mpira na upana wa mita 70+
Length1,092 ft (332.8 m) overall, 1,040 ft (317.0 m) at the waterline
Beam252 ft (77 m)
Draught41 ft
Displacement104,112 long tons (105,783 t) at full load
Flight deck width257 ft 5.5 in (78.5 m)
Height206 ft 6 in (62.9 m)
pamoja na meli vita nyingine 2 kwenye operation iliyochukua masaa 8.
View attachment 3150786
View attachment 3150787
BBC wametangaza wasema meli mbili za US zilikimbia kwa mwendo ngiri mkia juu
 
View attachment 3150788View attachment 3150789Uongozi wa Yemeni wa Houthi umeishambulia ndege meli vita ya Abraham Lincoln yenye urefu wa zaidi ya viwanja vitatu vya mpira na upana wa mita 70+
Length1,092 ft (332.8 m) overall, 1,040 ft (317.0 m) at the waterline
Beam252 ft (77 m)
Draught41 ft
Displacement104,112 long tons (105,783 t) at full load
Flight deck width257 ft 5.5 in (78.5 m)
Height206 ft 6 in (62.9 m)
pamoja na meli vita nyingine 2 kwenye operation iliyochukua masaa 8.
View attachment 3150786
View attachment 3150787
Screenshot_20241113-102157_1.jpg
 
Kuna terminology huwa wanazitumia kudogosha mambo.... successfully intercepted....minor damage...no causalities.....haya mataifa mawili yaliyobarikiwa duniani according to vitabu vyao vya Imani...
Kama umeweza kulenga target unashindwaje kuonyesha hicho ulichokilenga? Houth ndio wanaotakiwa watuonyeshe hizo aircraft carriers zikiwaka.
 
Marekani inaenda kupasuka eneo lote la mid esr vituo vingi vyakijesh vitapigwa kwanguvu kubwa baada ya apo Israel inaenda kuanguka Mbele ya macho ya Dunia. Itavamiwa pande zote adi kutokea Jordan hii vita ndio mwisho wao tujiandae na wakimbizi kutokea ilepande..
Pumbavu sana wewe,nenda kanye ulale kichwa chako kimejaa mafi tu
 
Back
Top Bottom