Meli vita za USA zashambulia na Houthi wa Yemen

Meli vita za USA zashambulia na Houthi wa Yemen

Marekani inaenda kupasuka eneo lote la mid esr vituo vingi vyakijesh vitapigwa kwanguvu kubwa baada ya apo Israel inaenda kuanguka Mbele ya macho ya Dunia. Itavamiwa pande zote adi kutokea Jordan hii vita ndio mwisho wao tujiandae na wakimbizi kutokea ilepande..
Mkuu unaota au ni chuki dhidi ya Waisrael.
 
Marekani inaenda kupasuka eneo lote la mid esr vituo vingi vyakijesh vitapigwa kwanguvu kubwa baada ya apo Israel inaenda kuanguka Mbele ya macho ya Dunia. Itavamiwa pande zote adi kutokea Jordan hii vita ndio mwisho wao tujiandae na wakimbizi kutokea ilepand
Yaani nyie ni wachache sana
 
Marekani inaenda kupasuka eneo lote la mid esr vituo vingi vyakijesh vitapigwa kwanguvu kubwa baada ya apo Israel inaenda kuanguka Mbele ya macho ya Dunia. Itavamiwa pande zote adi kutokea Jordan hii vita ndio mwisho wao tujiandae na wakimbizi kutokea ilepande..
kumeshakucha amka maana ilikuwa ndoto ya matamanio
 
Marekani inaenda kupasuka eneo lote la mid esr vituo vingi vyakijesh vitapigwa kwanguvu kubwa baada ya apo Israel inaenda kuanguka Mbele ya macho ya Dunia. Itavamiwa pande zote adi kutokea Jordan hii vita ndio mwisho wao tujiandae na wakimbizi kutokea ilepande..
Utakuwa wakati unaandika ulikuwa usingizini
 
View attachment 3150788View attachment 3150789Uongozi wa Yemeni wa Houthi umeishambulia ndege meli vita ya Abraham Lincoln yenye urefu wa zaidi ya viwanja vitatu vya mpira na upana wa mita 70+
Length1,092 ft (332.8 m) overall, 1,040 ft (317.0 m) at the waterline
Beam252 ft (77 m)
Draught41 ft
Displacement104,112 long tons (105,783 t) at full load
Flight deck width257 ft 5.5 in (78.5 m)
Height206 ft 6 in (62.9 m)
pamoja na meli vita nyingine 2 kwenye operation iliyochukua masaa 8.
View attachment 3150786
View attachment 3150787
Hawa ndo wangeweza kuzichapa na Putin kweli
 
Naomba kuuliza, kabla ya shambulio la Septemba 11, Middle East palikuwa tulivu...??? Kuna kitu nataka kukielewa
Pale hapajawahi kupoa; always huaga pamechangamka tu. Yaani kama ugonjwa wa msimu, leo pametulia, kesho watu wanakiwasha pale; ni hivo tu
 
Kama umeweza kulenga target unashindwaje kuonyesha hicho ulichokilenga? Houth ndio wanaotakiwa watuonyeshe hizo aircraft carriers zikiwaka.
USA na British kila week wanashambulia Yemen,wanaonyesha target?!!
 
USA nao wanawalea sana hao magaidi wanawapiga afu wanawasikilizia hao kobaz inatakiwa USA iwapelekee moto hasa base zao zote ziwe majivu yaan wapige hasa hao mbwa
 
Back
Top Bottom