Meli vita za USA zashambulia na Houthi wa Yemen

Mkuu unaota au ni chuki dhidi ya Waisrael.
 
Yaani nyie ni wachache sana
 
kumeshakucha amka maana ilikuwa ndoto ya matamanio
 
Utakuwa wakati unaandika ulikuwa usingizini
 
Hawa ndo wangeweza kuzichapa na Putin kweli
 
Naomba kuuliza, kabla ya shambulio la Septemba 11, Middle East palikuwa tulivu...??? Kuna kitu nataka kukielewa
Pale hapajawahi kupoa; always huaga pamechangamka tu. Yaani kama ugonjwa wa msimu, leo pametulia, kesho watu wanakiwasha pale; ni hivo tu
 
Kama umeweza kulenga target unashindwaje kuonyesha hicho ulichokilenga? Houth ndio wanaotakiwa watuonyeshe hizo aircraft carriers zikiwaka.
USA na British kila week wanashambulia Yemen,wanaonyesha target?!!
 
USA nao wanawalea sana hao magaidi wanawapiga afu wanawasikilizia hao kobaz inatakiwa USA iwapelekee moto hasa base zao zote ziwe majivu yaan wapige hasa hao mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…