Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Huu ni mwaka wa wanamgambo wa Houth kupata ngawira kutokana na vita vinavyoendelea huko Gaza.
Muda mfupi ulopita meli nyengine yenye mafungamano na Israel imetekwa kwenye bahari ya Aden
Meli hiyo ya inayoitwa central Park inamilikiwa na kampuni ya ZODIAC MARITIME ambayo ni mali ya tajiri wa Israel ,Eyar Ofer ambaye biashara zake ziko Uiengereza na ina mabaharia kutoka nchi mbali mbali.
Nahodha mkuu wa meli hiyo ni mturuki.
Meli hiyo yote imebeba phosphoric acid.