UongoHuu ni mwaka wa wanamgambo wa Houth kupata ngawira kutokana na vita vinavyoendelea huko Gaza.
Muda mfupi ulopita meli nyengine yenye mafungamano na Israel imetekwa kwenye bahari ya Aden
Meli hiyo ya inayoitwa central Park inamilikiwa na kampuni ya ZODIAC MARITIME ambayo ni mali ya tajiri wa Israel na ina mabaharia kutoka nchi mbali mbali.
Nahodha mkuu wa meli hiyo ni mturuki.
Yaani sasa Israel sasa wanasafiri kwa kujificha na kupeperusha bendera za nchi nyengine.wanadhani Houth ni kama Misri na Saudi Arabia.Wanazifuatilia na kuzijua vizuri.Yemen Houthis hijacked another(3rd) Israeli ship called 'Central Park', which belonged to Israeli businessman Eyal Ofer and was flying the Liberian flag in Red Sea
Wakianza kusambaratishwa hao jamaa tusisikie kilio tena.Yaani sasa Israel sasa wanasafiri kwa kujificha na kupeperusha bendera za nchi nyengine.wanadhani Houth ni kama Misri na Saudi Arabia.Wanazifuatilia na kuzijua vizuri.
Askari wake wameshapata kiwewe cha kuendelea na vita ndio maana anakwenda kuwatia moyo.Netanyahuu yupo Gaza leo akiwapa moyo wanajeshi wake nakuwatumia message magaidi tunaendelea na vita mpaka tuwe washindi
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Kwani bwana zako?(kama ni kweli) leo mnawasifia maharamia, kesho mtawahurumia na mtamlaumu yahudi.
Lazima ukipigwa na mchokozi ulie na upige kelele kuomba msaada.Ukipata nafasi na wewe unampiga anayekupiga na akitokea mtu akakusaidia kumpiga asikumalize utamthamini kwa msaada wake.(kama ni kweli) leo mnawasifia maharamia, kesho mtawahurumia na mtamlaumu yahudi.
Mwenye connection nao nataka waniuzie injini za hizo meliHuu ni mwaka wa wanamgambo wa Houth kupata ngawira kutokana na vita vinavyoendelea huko Gaza.
Muda mfupi ulopita meli nyengine yenye mafungamano na Israel imetekwa kwenye bahari ya Aden
Meli hiyo ya inayoitwa central Park inamilikiwa na kampuni ya ZODIAC MARITIME ambayo ni mali ya tajiri wa Israel ,Eyar Ofer ambaye biashara zake ziko Uiengereza na ina mabaharia kutoka nchi mbali mbali.
Nahodha mkuu wa meli hiyo ni mturuki.
Meli hiyo yote imebeba phosphoric acid.
Israel-linked tanker seized off Yemen’s coast
View attachment 2825918
Acha blah blah weweMarekani ilifanikiwa irudisha meli husika na kuwakamata watekaji.
Nikikujibu sawa na upumbavu wako nitakosea sana.Kwani bwana zako?
Duh ndo akili za mfuasi wa mudi hizi kweli kazi ipoKwani unaumia nini wayemeni wakichukua meli za Israel na kushusha mizigo inayowafaa ili kuporomosha uchumi wa Israel wanaoua ndugu zao wa Palestina.
US Navy warship has captured armed men who seized an Israeli-linked tanker off the coast of Yemen on Sunday, US defence officials say.Huu ni mwaka wa wanamgambo wa Houth kupata ngawira kutokana na vita vinavyoendelea huko Gaza.
Muda mfupi ulopita meli nyengine yenye mafungamano na Israel imetekwa kwenye bahari ya Aden
Meli hiyo ya inayoitwa central Park inamilikiwa na kampuni ya ZODIAC MARITIME ambayo ni mali ya tajiri wa Israel ,Eyar Ofer ambaye biashara zake ziko Uiengereza na ina mabaharia kutoka nchi mbali mbali.
Nahodha mkuu wa meli hiyo ni mturuki.
Meli hiyo yote imebeba phosphoric acid.
Israel-linked tanker seized off Yemen’s coast
View attachment 2825918
Habari ndo hiyo japo kwa kuwa ustaadh ubwabwa ni mbishi lazima akataeMarekani ilifanikiwa irudisha meli husika na kuwakamata watekaji.