Hata nchi zote Africa zikiungana kuipiga Iran iliyokamuliwa kisawasawa na Us-Israel tunapigika. Hata haka ka Ukraine mkiungana wote hamkawezi.
sina ushabiki wa vita lakini kwa majeshi yetu yanayotegemea mizinga na uwingi wa wanajeshi africa inachapika vema kabisa bila shida. Wenzetu wanatumia technology sisi tunatumia binadamu katika uwanja wa vita. Drone moja tu inaweza kusambaratisha karibu wanajeshi wote wa Rwanda waliokaa pa1Hii kauli yako ingekua kweli kwa Iran ya kabla ya vita, ila hapo ilivyopigika, tuipe muda Israel iendelee kutembeza kipigo siku tatu au tano kisha iachie hata Rwanda au Burundi wamalizie.....hehehe
sina ushabiki wa vita lakini kwa majeshi yetu yanayotegemea mizinga na uwingi wa wanajeshi africa inachapika vema kabisa bila shida. Wenzetu wanatumia technology sisi tunatumia binadamu katika uwanja wa vita. Drone moja tu inaweza kusambaratisha karibu wanajeshi wote wa Rwanda waliokaa pa1
Inabidi baada ya hii vita,sisi Tanzania tukakite kambi Oman tuivamie iran tukiwashinda tujichotee mafuta bure au unaonaje? Ukizingatia Oman ni marafiki zetu tangu kitambo.Hukunielewa, nachomaanisha uwezo wa Iran kutuma drones au hata mizinga unaenda kumalizwa kiasi kwamba kitakachobaki ni vita vya chini tu kama hivi vya kwetu huku. Hivi karibuni waasi wa Kurdi wataingia mjini kuanza kusaka wanajeshi wa Iran kwenye vita vya ardhini.
Iran kwisha Habari yakeNarudia tena Msiichukulie poa Iran
Israel imezuia kabisa taarifa zake kutoka hivyo mnatoa taarifa za upande mmoja tena zenye propaganda.
Juzi Jumanne, Ikulu ya Netanyahu imesambaratishwa, hata sijui kajificha wapi; hajaonekana tena hewani....
Irani kafunga ghuba ya Uajeni inayotumika kusafirisha mafuta kote duniani ikiwepo Marekani; Mbona basi wasipitishe meli hapo kwa kuwa wamesha wasambaratisha Irani...
Ni suala la muda tu.....Mbogo unaweza kumuua ila hadi afe cha moto utakiona......
Hii meli ilikua imejificha baharini, kazi yake kutuma mamia ya drones, imekutwa huko huko na kufutwa kwenye uso wa dunia. Yaani Iran imesambaratishwa na kuachwa hoi kabisa, kiasi kwamba hivi karibuni itakua mnyonge wa yeyote anayetaka kuipiga, hata kainchi ka Afrika kataweza kujipigia.
View: https://x.com/CENTCOM/status/2029725370371424476?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E2029725370371424476%7Ctwgr%5E7eb8d33bd282060ef25277558bf8f4109598405a%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.jpost.com%2Fmiddle-east%2Firan-news%2Farticle-889052
Narudia tena Msiichukulie poa Iran
Israel imezuia kabisa taarifa zake kutoka hivyo mnatoa taarifa za upande mmoja tena zenye propaganda.
Juzi Jumanne, Ikulu ya Netanyahu imesambaratishwa, hata sijui kajificha wapi; hajaonekana tena hewani , Siku akitoka atajifanya alikuwa mapumziko, kumbe pengine yupo ICU..
Tel Aviv descended into panic after Iran’s Revolutionary Guards struck Prime Minister Benjamin Netanyahu’s headquarters, declaring his “fate unclear.” Sirens blared across central Israel as residents rushed for shelters. Israeli officials swiftly claim, Netanyahu is “alive .” The exchange comes amid two days of intense missile salvos following joint U.S.–Israel strikes that killed Iran’s Supreme Leader.
Irani kafunga ghuba ya Uajemi (Persian Gulf) inayotumika kusafirisha mafuta kote duniani ikiwepo Marekani; Mbona basi wasipitishe meli hapo kwa kuwa wamesha wasambaratisha Irani...
Ni suala la muda tu.....Mbogo unaweza kumuua ila hadi afe cha moto utakiona......
Hiyo asilimia 80% umepataje MkuuWewe tuletee taarifa za Israel unazojua, mimi naleta za Iran inavyochakazwa na kufanywa majivu, sasa hivi hata mashambulizi ya Iran yamepungua kwa asilimia 80%, Israel imeshapiga launchers nyingi mpaka zilizo chini ya ardhi.
Unafdhani watapiga na kuondoka mikono mitupu? US ni kama anataka kudhibiti soko la mafuta duniani ili kumpunguza nguvu Urusi na Mchina. Mafuta mengi ya Venezuela tayari US kapiga kufuli, ya Iran nayo yanaweza pigwa kkofuli piaInabidi baada ya hii vita,sisi Tanzania tukakite kambi Oman tuivamie iran tukiwashinda tujichotee mafuta bure au unaonaje? Ukizingatia Oman ni marafiki zetu tangu kitambo.
Kurusha mabomu 200 kwa siku sio kuonyesha nguvu ya kijeshi BALI nikuonesha jinsi ulivyo na jeshi bovu ambalo halina wasomi wa Hesabu na Physics....maana yake hulengi target....Wewe tuletee taarifa za Israel unazojua, mimi naleta za Iran inavyochakazwa na kufanywa majivu, sasa hivi hata mashambulizi ya Iran yamepungua kwa asilimia 80%, Israel imeshapiga launchers nyingi mpaka zilizo chini ya ardhi.
Daah asee uko brain washed sana na Media Propaganda,Wewe tuletee taarifa za Israel unazojua, mimi naleta za Iran inavyochakazwa na kufanywa majivu, sasa hivi hata mashambulizi ya Iran yamepungua kwa asilimia 80%, Israel imeshapiga launchers nyingi mpaka zilizo chini ya ardhi.
Kurusha mabomu 200 kwa siku sio kuonyesha nguvu ya kijeshi BALI nikuonesha jinsi ulivyo na jeshi bovu ambalo halina wasomi wa Hesabu na Physics....maana yake hulengi target....
Kama Waisrael wanavyorusha mabomu hovyo hovyo na kupiga, Hospitali, shule, chekechea nk sijui wamejaza watu wa historia huko?
Irani ilirusha mabomu mengi mwanzoni kwa kuwa ilishtukizwa...sasa hivi wanarusha ki professional kwa kulenga target. Unafikiri kulenga ikulu ya Netanyahu kama huna back ground ya Physics na Hesabu ni kazi rahisi?
Tutafutie kwanza Netanyau alikojificha tangu ikulu yake isambaratishwe tar 2nd March!
Geez Mabovu anakwambia "mtoto hajazaliwa nishamchimbia kaburi. Nimeamua kuwa kiburi jeuri ....Ushuhuda kutoka kwa mtu wa Mungu aliye onyeshwa MAONI YA UFUNUO na Yesu...kwamba IRANI ina silaha hatari zaidi duniani zenye uweze mkubwa zaidi wa kuharibu sehemu kubwa zaidi ya duniani kuliko nchi yeyote duniani...
Na kwamba Yesu hataruhusu zitumike kabla hajawaondoa watu wake (watakatifu ama kanisa)..katika UNYAKUO WA WATAKATIFU...mana hizo silaha ambazo zimefichwa kwa siri IRANI ni silaha hatari kabisa duniani..YESU alimuonyesha mpaka zilipofichwa akamuelezea na uwezo wake wa kufanya madhara makubwa duniani...
TAKE HOME MESSAGE
UNYAKUO WA WATAKATIFU UMEKARIBIA sana...tengeneza mambo ya nyumba yako..hizi ni dakika za mwishoni....