Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo unavyojidanganya kaka!?Mkumbushe mwaka 1988 Iran bahati mbaya alivyotega mines zikaharibu US warship. Marekani ilikuwa kwenye operation kwenye international waters kulinda meli ya mafuta ya Kuwait, kama inavyofanya sasa kulinda meli dhidi ya Houthi. Iran ikatega mabomu ya kwenye maji yakalipua meli ya Marekani na kuifanya ikarekebishwe.
Marekani ikaanzisha Operation Praying Mantis kwenye eneo la bahari linalomilikiwa na Iran kumfundisha adabu Ayatollah. Matokeo yakaisha kwa Iran kupoteza wanajeshi 56, meli mbili, ndege mbili na boti tatu. Marekani ikapata tu ajari ya helicopter wakafa marubani wawili.
Tangu hapo Iran akimuona Marekani kwenye maji anakula kona.
Kabla Hezbollah haijajibiwa mlikuwanarusha maneno humu kila siku. Mara mnasema Israel haina nguvu, mara inawaogopa. Baada ya Israel kujibu matokeo yake haya hapa Hezbollah haina makamanda tena within few days, hata Marekani ingejibu Iran wangeona vumbiNdivyo unavyojidanganya kaka!?
Hizo operations za Houthi kuteka meli ni nani kama sio usaidizi wa Iran!?
Ile meli ya Uingereza ya tanker iliyotekwa mwaka juzi ni nani aliyeiteka kama sio Iran!?
Unazungumzia 1988 hii ni 2024.
Usisahau Trump alipopeleka meli zake baada ya kambi yake Iraq kushambulia alishindwa kusogelea maji ya Iran akaishia kukaa kama mvuvi pale.
Usifananishe 1988 Iran ikiwa inajitafuta na sasa 2024 ambapo ishajipata.
Meli ya UK ilipotekwa sio huyo USA wala UK walioinua mdomo mwaka juzi.
Kumekuchaaaaa kumekuchaaaaaaa.Baada ya Hezbola ni Houthi baada ya Houthi IDF ihamie JF kiwasaka Terrorist sympathisers😁
Hao ni watu wanaweza kuwa replaced.Kabla Hezbollah haijajibiwa mlikuwanarusha maneno humu kila siku. Mara mnasema Israel haina nguvu, mara inawaogopa. Baada ya Israel kujibu matokeo yake haya hapa Hezbollah haina makamanda tena within few days, hata Marekani ingejibu Iran wangeona vumbiView attachment 3105958
Hizo meli kubwakubwa kwani nazo huwa zinatumia mafutaUSNS Big Horn imejikwaa kwenye miamba ikiwa kwenye maji ya kina kifupi karibu na ufukweni. Ilianza kuingia maji ila meli za kivita zina watertight compartments. Haijavuja mzigo wake wa mafuta hivyo haina madhara makubwa yaliyotokea.
Ni meli ya kujaza mafuta ya meli kwenye meli nyingine.
nakukumbusha tu mpaka muda huu huko Lebanon wameshakufa watu 490 kwa shambulio la siku 2 tuMeli moja ilipigwa na Iran .Halafu wakaangusha na helkopta na wanajeshi wa US wakafa.
Kwa hali hiyo kila mmoja alipata hasara na Marekani ilishika adabu yake.
Ni meli chache zinazotumia nuclear reactors na zinatakiwa ziwe kubwa. Meli nyingi zinatumia mafuta zinahitaji kujazwa zikiwa na safari ndefuHizo meli kubwakubwa kwani nazo huwa zinatumia mafuta
Waseme kweli tu, Wayemeni washafanya vitu vyao.Meli moja ya kivita iitwayo USNS Big Horn imeharibika kama ambavyo inadaiwa picha zimekuwa zikirushwa mitandao kuifanya Marekani ianze kutoa taarifa ya tukio hilo.
Meli hiyo imepata athari kama hiyo karibu na eneo la bahari ya Oman .Hata hivyo mabaharia wa meli hiyo wako salama ingawaje wazungumzaji wa kwenye mitandao wamekuwa wakisema imezama zamani na pahala pake kuchukuliwa na meli ya Henry J. Kaiser-class yenye majukumu sawa na USNS big horn
US Navy replenishment ship operating in Mideast was damaged in an incident, officials say
Hapo roho kwatu Islamic jihadist wa mpwapwa DodomaMeli moja ya kivita iitwayo USNS Big Horn imeharibika kama ambavyo inadaiwa picha zimekuwa zikirushwa mitandao kuifanya Marekani ianze kutoa taarifa ya tukio hilo.
Meli hiyo imepata athari kama hiyo karibu na eneo la bahari ya Oman .Hata hivyo mabaharia wa meli hiyo wako salama ingawaje wazungumzaji wa kwenye mitandao wamekuwa wakisema imezama zamani na pahala pake kuchukuliwa na meli ya Henry J. Kaiser-class yenye majukumu sawa na USNS big horn
US Navy replenishment ship operating in Mideast was damaged in an incident, officials say
USNS Big Horn imejikwaa kwenye miamba ikiwa kwenye maji ya kina kifupi karibu na ufukweni. Ilianza kuingia maji ila meli za kivita zina watertight compartments. Haijavuja mzigo wake wa mafuta hivyo haina madhara makubwa yaliyotokea.
Ni meli ya kujaza mafuta ya meli kwenye meli nyingine.
Wakumbushe hao.Kwanza eneo lote lile limechorwa vizuri miamba yote iliyo chini tangu karne iliyopita.Meli hata za kwetu zinaiona hiyo miamba,Wasitudanganye, waseme ukweli tu.
Wayemeni washaibamiza hiyo.
. Mimeli ile kwa teknolojia za kisasa, inakwepa yenyewe majabali.