Meli ya kivita ya Marekani imepata athari mbaya.Uchunguzi unaendelea

Ndivyo unavyojidanganya kaka!?
Hizo operations za Houthi kuteka meli ni nani kama sio usaidizi wa Iran!?
Ile meli ya Uingereza ya tanker iliyotekwa mwaka juzi ni nani aliyeiteka kama sio Iran!?
Unazungumzia 1988 hii ni 2024.
Usisahau Trump alipopeleka meli zake baada ya kambi yake Iraq kushambulia alishindwa kusogelea maji ya Iran akaishia kukaa kama mvuvi pale.
Usifananishe 1988 Iran ikiwa inajitafuta na sasa 2024 ambapo ishajipata.
Meli ya UK ilipotekwa sio huyo USA wala UK walioinua mdomo mwaka juzi.
 
Taarifa huko vyombo vya habari inasema "damaged after running into something" sasa hiyo into something sijui ni kitu gani.
Hapa kuna kitu sidhani kama ni mwamba huu.
 
Kabla Hezbollah haijajibiwa mlikuwanarusha maneno humu kila siku. Mara mnasema Israel haina nguvu, mara inawaogopa. Baada ya Israel kujibu matokeo yake haya hapa Hezbollah haina makamanda tena within few days, hata Marekani ingejibu Iran wangeona vumbi
 
Hao ni watu wanaweza kuwa replaced.
Labda nikuulize kaka,kwani mwaka huu ndio mara ya kwanza makamanda wa Hizbollah kuuliwa!??
Je kuuliwa kwao kulizuia Hizbollah kuendelea!?
Mmeua makamanda jana na juzi Hizbollah wamekesha wanarusha maroketi ndani ya Israel.
Hao ni watu they can be replaced kaka.
Huko kwa Iran usizungumzie nadhani wanajua gharama ya kuingia vita na Iran sio sawa ya miaka ya 1988.
 
Hizo meli kubwakubwa kwani nazo huwa zinatumia mafuta
 
Meli moja ilipigwa na Iran .Halafu wakaangusha na helkopta na wanajeshi wa US wakafa.
Kwa hali hiyo kila mmoja alipata hasara na Marekani ilishika adabu yake.
nakukumbusha tu mpaka muda huu huko Lebanon wameshakufa watu 490 kwa shambulio la siku 2 tu
 
Hizo meli kubwakubwa kwani nazo huwa zinatumia mafuta
Ni meli chache zinazotumia nuclear reactors na zinatakiwa ziwe kubwa. Meli nyingi zinatumia mafuta zinahitaji kujazwa zikiwa na safari ndefu
 
Waseme kweli tu, Wayemeni washafanya vitu vyao.
 
Hapo roho kwatu Islamic jihadist wa mpwapwa Dodoma
 

Wasitudanganye, waseme ukweli tu.

Wayemeni washaibamiza hiyo.
. Mimeli ile kwa teknolojia za kisasa, inakwepa yenyewe majabali.
 
Wasitudanganye, waseme ukweli tu.

Wayemeni washaibamiza hiyo.
. Mimeli ile kwa teknolojia za kisasa, inakwepa yenyewe majabali.
Wakumbushe hao.Kwanza eneo lote lile limechorwa vizuri miamba yote iliyo chini tangu karne iliyopita.Meli hata za kwetu zinaiona hiyo miamba,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…