hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
😁😁😁Walidhani Iran anatania?View attachment 3556457
😁😁😁Walidhani Iran anatania?View attachment 3556457
😁😁😁 Wanafanya mchezo na simba aliye jeruhiwaWalifikiri utani! Irani ameshachafukwa wakae nae mbali. 😁
Atawagonga sana hapo kwenye ghuba.
Kama kawa 😁😁😁Anamwaga dozi
Bro tani elfu thelathini ndogo??Tani 30,000? Limekiwa lorry hilo?
Halafu mbona kwenye maelezo ya kimombo hakuna uwezo wa kubeba wa meli?
Iran amechafukwa kwa kushambulia civilian ships ambazo si za kijeshi?Walifikiri utani! Irani ameshachafukwa wakae nae mbali. 😁
Atawagonga sana hapo kwenye ghuba.
Lakin bado haja attack all us bases, And mostly hajaweza ku attack ardhi ya US.Ila watu wengine wanajitakia matatizo tu , mtu kama ameweza kulipua base za USA hao Thailand wametoa wapi guts za kupitisha meli hapo Hormuz!!?
Akili hawana
Iran amechafukwa kwa kushambulia civilian ships ambazo si za kijeshi?
Angeshambulia za kijesh zenye hatari kwake zaidi
US navy fleet zote zimeondoka range ya Persian gulf.Iran amechafukwa kwa kushambulia civilian ships ambazo si za kijeshi?
Angeshambulia za kijesh zenye hatari kwake zaidi
-Hakuna operational US base katika gulf states hata moja,zote 27 bases zimelipuliwa na wenyewe wamekiri kiasi cha kuomba base Cyprus.Lakin bado haja attack all us bases, And mostly hajaweza ku attack ardhi ya US.
Base zote za middle east zimechezea mkong'oto hakuna zilizo achwa before ya vita Iran alisema kwamba atazishambulia Nchi zote za middle east zinazo tumika kukeep base za USA hakusema kwamba atapiga mabomu USA na Hilo katimiza Tena Kwa kishindo kizito Dunia nzima imeona Hilo tu alilolifanya halijawahi kufanywa na Taifa lolote zaidi ya Japan tangu vita kuu ya pili ya Dunia us ilikuwa inatafsirika kama untouchable katika sheria za kidiplomacy unapo shambulia base za taifa Fulani au embassy za taifa Hilo ni sawa sawa na kuipigia Ardhi ya Nchi husika au hujui Hilo , !?Lakin bado haja attack all us bases, And mostly hajaweza ku attack ardhi ya US.
LONG LIVE!!!Long Live the Islamic Republic of Iran
Acha basi aisee, detective gani unakuwa key-ladha namna hii!?Lakin bado haja attack all us bases, And mostly hajaweza ku attack ardhi ya US.
Mkuu lorry gani linabeba Tani elfu 30?Tani 30,000? Limekiwa lorry hilo?
Halafu mbona kwenye maelezo ya kimombo hakuna uwezo wa kubeba wa meli?